Kenya sasa ni number sita Afrika kwa GDP

But still TZ's on top ten of best countries with high GDP in Africa
though you're on number 6 and we're on number 10, so we still here to come
Dude, the "Rising Giant" has been rising for as long as this forum has been in existence! LOL
 
Jidanganye Ghana tunaijua miji yake hata Kampala kumejengeka
Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
 
Dah kumbe Africa kuna nchi tajiri!!!.. nilikuwa sijui kabla
 
Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
Nanyinyi mumeizidi tz utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kweli ukitumia vibaya kichwa,matako yananyanyuka.
 
Kwani is that news? Kwani wewe hapo Mwananyamala hujui kwamba Kenya inaizidi Tanzania kwa utajiri? 😂 😂
 
This is not True, Danganyika is the largest economy in the world. Dona Cantri
 
Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
Ghana ipo juu ya Tanzania sababu ya alphabetical order na sio vinginevyo, according to IMF tupo juu ya Ghana
20191022_171157png.png
 
Back
Top Bottom