joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very strong speech indeed. But itaishia kwenye speeches tu. Sioni wakichukua military action yoyote dhidi ya Kenya. Navy yenyewe hawana. Waje wachukue hilo kipande cha bahari waliyopewa na mahakama. Ila waunde navy kwanza. Bwana wao Turkey aunde SNA navy strong kwanza ndio waje vita ya kwenye maji. Saa hii nasikia eti Somalia ina navy ndogo tu ya patrol boats 11 waliyopewa na Turkey.A strong speech my friend!
We did that long ago in Comoros uliza uambiwe usijisifu hapa bila fact eti the first one in AfricaJeshi ovyo ambayo iliikomboa Kismayu 2011 kutoka mikononi mwa Al-Shabab kutumia the first amphibious landing by any military in African history?
Hivi unajua pia Kenya inaweza kudestabilize Somalia na kuirudisha iwe failed state? Tunaweza kufanya mambo yetu huko na kuleta instability huko?In my opinion, Kenya pigeni kelele as much as you want, but never attack or try to attack Somalia in regards of this marine border decision.
The consequences has a potential to be deadly years to come.
Kama sasa hivi mnapambana na Al shaabab ambao hawana apparently good reason ya ku attack Kenya, imagine mtakapo attack Somali ships in the now ruled as Somali water.
Your navy will not save you from the carnage that will follow.
Because now, you will not only be fighting Al shaabab militia but Somali Military and their will be growing sympathizer in and around Kenya.
Al Shaabab will now have a new recruitment propaganda will the justifications they need.
Somalia may not have strong navy, but they won't have to fight in the water. They will attack your hotels, schools, Malls and Hospital. Somali Military may use AL Shaabab as the escape goat or they can even provide support to AL shaabab.
Simply put, they will fight dirty and will have AL Shaabab as cover to take the blame.
It's a fight you will not win, the fight you cannot afford, the fight that may go on long after we die.
the Case of the Maritime Dispute between Somalia and Kenya
![]()
In the Name of Allah, the Most Gracious, Most Merciful
Somalia's president urged Kenya to "respect the international rule of law" after the UN's top court handed Mogadishu control of most of a potentially oil- and gas-rich chunk of the Indian Ocean on Tuesday following a bitter row with Nairobi.
Kenya got only a small slice of the disputed tract of sea off the East African coast in the ruling by the International Court of Justice (ICJ) based in The Hague.
In a televised speech following the ruling, Somalia's Mohamed Abdullahi Mohamed, who is widely known as Farmajo, said Nairobi should "see the decision of the court as an opportunity to strengthen the relationship of the two countries".
But with Kenya refusing to recognise the "biased" court's authority, all eyes will be on what Nairobi does next in one of the world's most troubled regions
Have even read and analyze what I have written. Au ili mradi tu uonekane umejibu?Hivi unajua pia Kenya inaweza kudestabilize Somalia na kuirudisha iwe failed state? Tunaweza kufanya mambo yetu huko na kuleta instability huko?
Unajua Kenya na Uganda ndio nchi zilizoplay the biggest roles kustabilize Somalia? Nikisema kwamba Kenya inaweza kudestabilize Somalia sio kwamba ninaguess. By the way Somalia yenyewe sio eti ipo stable sana. Al Shabab wanatawala maeneo ambayo Amisom haipo. Karibia 30% ya Somalia ipo chini ya Al shabab. National government ipo Mogadishu. Amisom ipo kwenye cities na towns kadhaa ila kwenye vitongoji na mashambani huko unakuta Al Shabab ndio bado wanaongoza huko. Kenya iliondoa Al Shabab kutoka kwenye state inayoitwa Jubbaland. Kenya ikaweka kiongozi anayeitwa Madobe na kutrain army yake. Sasa Kenya inapiga doria Jubbaland pamoja na kikosi cha jeshi la Madobe. Hii imeleta stability kubwa katika jimbo la Jubbaland. Zamani hii Jubbaland ilikuwa inatawaliwa na Al Shabab. Kuna city inaitwa Kismayu ambayo ipo Jubbaland na ni 2nd biggest city in Somalia, hii city ilikombolewa na KDF kutoka mikononi mwa Al Shabab. Kiufupi nikuambie kwamba jimbo la Jubbaland ipo stable kwa sababu ya Kenya. Tukiamua kudestabilize Somalia tunaweza kufanya hivyo haraka sana. Hata huyo Madobe ambaye ni kiongozi wa Jubbaland sisi ndio tunayemlinda yeye na majeshi yake kutoka kwa mashambulizi ya Al Shabab. Al Shabab wanaitaka Jubbaland sana ila KDF haiwaruhusu kuingia Jubbaland.Have even read and analyze what I have written. Au ili mradi tu uonekane umejibu?
Mtamsingizia nani? Au mtaunda kundi lenu la kigaidi? Kwa sababu hakuna njia nyingine ambayo ni effective zaidi ya ugaidi.
Hamtaweza kushindana nao, especially ukiangalia cost mtakayo ingia for security and other losses.
When bombs start, bye bye tourism. When pirate starts bye bye Mombasa port. Before you know it, you are in martial law. No school, no malls, no hotels. Just curfew.
You have a better chance if the fight was face to face and fair. This will be anything but dirty. Na mkijaribu kuwaiga, bye bye donations, grants, loans. Mtakacho ambulia ni international condemnation.
Kenya has everything to lose in a fight with Somalia. As I said, it's a fight you will not win.
Seriously men, acha ku panic. Weka ata paragraph basi ueleweke.Unajua Kenya na Uganda ndio nchi zilizoplay the biggest roles kustabilize Somalia? Nikisema kwamba Kenya inaweza kudestabilize Somalia sio kwamba ninaguess. By the way Somalia yenyewe sio eti ipo stable sana. Al Shabab wanatawala maeneo ambayo Amisom haipo. Karibia 30% ya Somalia ipo chini ya Al shabab. National government ipo Mogadishu. Amisom ipo kwenye cities na towns kadhaa ila kwenye vitongoji na mashambani huko unakuta Al Shabab ndio bado wanaongoza huko. Kenya iliondoa Al Shabab kutoka kwenye state inayoitwa Jubbaland. Kenya ikaweka kiongozi anayeitwa Madobe na kutrain army yake. Sasa Kenya inapiga doria Jubbaland pamoja na kikosi cha jeshi la Madobe. Hii imeleta stability kubwa katika jimbo la Jubbaland. Zamani hii Jubbaland ilikuwa inatawaliwa na Al Shabab. Kuna city inaitwa Kismayu ambayo ipo Jubbaland na ni 2nd biggest city in Somalia, hii city ilikombolewa na KDF kutoka mikononi mwa Al Shabab. Kiufupi nikuambie kwamba jimbo la Jubbaland ipo stable kwa sababu ya Kenya. Tukiamua kudestabilize Somalia tunaweza kufanya hivyo haraka sana. Hata huyo Madobe ambaye ni kiongozi wa Jubbaland sisi ndio tunayemlinda yeye na majeshi yake kutoka kwa mashambulizi ya Al Shabab. Al Shabab wanaitaka Jubbaland sana ila KDF haiwaruhusu kuingia Jubbaland.
Mkuu nimekuelewa sana. Huyo Tonny ni kirimiti tu kichwa ngumu hataki kuelewa.Seriously men, acha ku panic. Weka ata paragraph basi ueleweke.
Yaani you are just proving my point. Somalia is not stabe as it's, they have little to lose than Kenya in terms of stability, security and economy.
They have been fighting for years among themselves.
You attacking Somalia, will just unit them against you. Soma historia ya Somalia.
They don't like outsiders, at all. Destabilizing them can be easy, but the cost to Kenya will be unimaginable.
Kama sasa hivi mna struggle with International Loan payments among other things, what do you think will happen when the fight begins?
As I said, the fight will be dirty, meaning, it will not just be in the water or in the streets of Mogadishu. They will bring the fight to Kenya. In the streets of Nairobi, Mombasa etc.
Kenya has so much to lose in this. Just one bomb in the Expressway, will China continue with the construction?
Hii inakuwa kama USA kwenda Afghanistan. USA kuwa na jeshi kubwa kuliko Afghanistan na pia Afghanistan kuwa unstable iliwapa kiburi Marekani.Mkuu nimekuelewa sana. Huyo Tonny ni kirimiti tu kichwa ngumu hataki kuelewa.
Somalia hana cha kupoteza, na kasambaa kenya yote. Atakuwa anawapiga surprise tu. Na naamini uhuru atatii.. Atapiga kelele but mwisho wa siku ndio imeisha hivyo. La sivyo ajitutumue kupambana ili kenya ipotee kabisa.
Atakuwa a failure president indeed. Kaingiza nchi kwenye madeni makubwa, assets za maana ziko rehani. Akisumbuana na hao shababis tena waanze kujilipua kila kona ya kenya ndio kabisa they will drag him into the mud. Watulie tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyani ako na IQ ngapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba Somalia ifahamu jambo moja. ICJ haina army yake ya kuenforce decisions zake. Tutapuuza hio decision. Pia tunawaalika Somalia waingie na kujaribu kunyakua Kenyan territorial waters ndio watajua kilichomtoa kanga manyoa.
Na Geza msikae tu watanzania mkisherehea kwasababu pia nyinyi Mpaka yenu iko Vibaya,Ujue Somalia ikiweza kuchukua Tanzania pia iaanze kujitayarisha tunakuja pia,Na Tanzania pia itakuta Mozambique,Mozambique nayo ikute South Africa!!!Furahieni tuu hapo!!!Border inayowatia uchizi Kunyaland![]()
Wakasahau
![]()
Watanzania ni wajinga. Wanasherehekea na huku chuma chao ki motoni.Na Geza msikae tu watanzania mkisherehea kwasababu pia nyinyi Mpaka yenu iko Vibaya,Ujue Somalia ikiweza kuchukua Tanzania pia iaanze kujitayarisha tunakuja pia,Na Tanzania pia itakuta Mozambique,Mozambique nayo ikute South Africa!!!Furahieni tuu hapo!!!
ukweli,wacha washerehekee tu! They even dont know where there interest is supposed to be,yani hawa tu ni mafan wa Yanga tyu!!heheheWatanzania ni wajinga. Wanasherehekea na huku chuma chao ki motoni.