vipi ile yenu ya umeme😀 imeisha mkuuUsidanganye watu, Kenyans are not only primed to apply a law of the junggle they also have an inflated view of their importance in East Africa - One more thing, 4 some strange reasons you seem to have 4gotten how Kenyatta went down on his knees begging Ti Xing Ping kuwajengea reli, kama nyinyi zaidi kwa nini mmeshindwa kujenga reli kwa kutumia coffers zenu - maneno tu na majisifu.
na c yenu inajengwa na hela zenu😀Mimi nilikuwa natania tu, si rahisi kujenga reli bila mkopo.
Alipoanzisha ile ya Mombasa-Nairobi mlisema ni kawaida ya Rais siku zake kwanza madarakani...sasa imekuwa uchaguzi. hahahaa...next itakuwa.Uchaguzi huu, hakuna chochote hapa !
vipi ile yenu ya umeme😀 imeisha mkuu
Wanasema kukopa harusi.. kulipa matanga.Its funny, unalalamika trade imbalance btwn Kenya and China is growing in Chinese favour. Huku unachukuwa more loan, tena ni commercial loan, na hakuna mtu yoyote anaweza Ku bid ila ni mchina peke yake.
This is the most sensible comment I have ever read from a TanzanianMkuu binafsi sielewi kwa nini Watanzania tunapigia debe train ya umeme ya kutoka Morogoro kuja Dar, tena train yenyewe ni ya kubeba abiria siyo mizigo!! Sometimes priorities zetu ni highly questionable - Mkuu nchi gani Africa yenye umeme wa kuaminka labda Egypt na hivi sasa Ethiopia, hivi sasa nchi zetu hizi haziitaji bullet trains kama Shinkansen za Japan au TGV za Ufaransa - priority zetu ziwekezwe kwenye freight trains siyo passenger trains - mwendo kasi wa kufurahisha abiria auwezi kutufikisha popote - tukumbuke revenue zinakuwa generated kwa kubeba mizigo mingi siyo abiria, abiria ni kama Service tu - actually faida yake ni sawa sawa na hakuna.
Kwa upande wetu mimi ningependelea zaidi kama ujenzi wa reli ya kati wangepewa Wachina kama walivyo fanya wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kusema reli yetu tutaijenga in piece meal sielewi mantiki yake hata kidogo - reli inapaswa kujengwa seamlessly na contractor mmoja tangu mwanzo wa reli mpaka mwisho, haya mambo ya kusema kilometer fulani ijengwe nchi fulani zinazo fuata wapewe Taifa lingine, yaani kila contractor anakuja na sleepers zake na reli yake mpaka tufike mwisho sijui tuta engage makandrasi wangapi tena wenye workmanship tofauti ingawa wanasema atakuwepo msimamizi mkuu wa Project hii mimi 'am not convienced hata kidogo, tungekuwa serious tusingezungumzia trains za umeme za abiria kutoka Moro kuja Dar wakati nishati ya umeme nchini bado ni mgogoro, hayo yanaweza kufanyika tukiwa na umeme wa kuaminika hata wenzetu wa Kenya siyo kwamba wanashindwa kuweka Loco za umeme wanasubiri mpaka watakapo kuwa na umeme wa kutosha na kuaminika - Locos ni rahisi kuzibadirisha kutoka kwenye mfumo wa Diesel Electric to pure Electric Locos at opportune time siyo hivi sasa.
Ni kweli, baadhi ya wakenya wenyewe wanahoji harakati za ukopaji wa serikali hii inayomaliza muda wake. Jamaa hao wawili wamekopa kuliko serikali zote zilizopita. Hakuna mwenye uhakika kama miradi italipa au itakuwa ni tembo mweupe.Wanasema kukopa harusi.. kulipa matanga.
Ila haya yote ni uchaguzi tu.. ngoja upite tutajua tu.
Sasa hao vijana wanaoenda kupata training ya namna ya kuendesha hizo trains watapata wapi trains za kufanana na hizo huko China sababu trains zenu hazipatikani popote duniani anymore may be some 50 years back.
Don't worry about them, obviously they will not come to complain in Dar is SlumSasa hao vijana wanaoenda kupata training ya namna ya kuendesha hizo trains watapata wapi trains za kufanana na hizo huko China sababu trains zenu hazipatikani popote duniani anymore may be some 50 years back.
Wanasema kukopa harusi.. kulipa matanga.
Ila haya yote ni uchaguzi tu.. ngoja upite tutajua tu.
Kibera is enough to shut them down without needing any other.Don't worry about them, obviously they will not come to complain in Dar is Slum
Mkuu binafsi sielewi kwa nini Watanzania tunapigia debe train ya umeme ya kutoka Morogoro kuja Dar, tena train yenyewe ni ya kubeba abiria siyo mizigo!! Sometimes priorities zetu ni highly questionable - Mkuu nchi gani Africa yenye umeme wa kuaminka labda Egypt na hivi sasa Ethiopia, hivi sasa nchi zetu hizi haziitaji bullet trains kama Shinkansen za Japan au TGV za Ufaransa - priority zetu ziwekezwe kwenye freight trains siyo passenger trains - mwendo kasi wa kufurahisha abiria auwezi kutufikisha popote - tukumbuke revenue zinakuwa generated kwa kubeba mizigo mingi siyo abiria, abiria ni kama Service tu - actually faida yake ni sawa sawa na hakuna.
Kwa upande wetu mimi ningependelea zaidi kama ujenzi wa reli ya kati wangepewa Wachina kama walivyo fanya wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kusema reli yetu tutaijenga in piece meal sielewi mantiki yake hata kidogo - reli inapaswa kujengwa seamlessly na contractor mmoja tangu mwanzo wa reli mpaka mwisho, haya mambo ya kusema kilometer fulani ijengwe nchi fulani zinazo fuata wapewe Taifa lingine, yaani kila contractor anakuja na sleepers zake na reli yake mpaka tufike mwisho sijui tuta engage makandrasi wangapi tena wenye workmanship tofauti ingawa wanasema atakuwepo msimamizi mkuu wa Project hii mimi 'am not convienced hata kidogo, tungekuwa serious tusingezungumzia trains za umeme za abiria kutoka Moro kuja Dar wakati nishati ya umeme nchini bado ni mgogoro, hayo yanaweza kufanyika tukiwa na umeme wa kuaminika hata wenzetu wa Kenya siyo kwamba wanashindwa kuweka Loco za umeme wanasubiri mpaka watakapo kuwa na umeme wa kutosha na kuaminika - Locos ni rahisi kuzibadirisha kutoka kwenye mfumo wa Diesel Electric to pure Electric Locos at opportune time siyo hivi sasa.
Mkuu zinazo fanana na hizo zipo Tazara wamezi-park kwenye Workshops wakati mwingine wanazitumia kwenye shunting siyo mainline - ukisoma nameplate za loco za TAZARA nyingi zinaonekana zilihundwa kwenye miaka ya sabini na themanini, tofauti ya loco za Kenya za hizi za TAZARA ni kwenye transmission na HorsePower za Engine - Kenya transmission ni Diesel Electric za TAZARA ni Diesel Hydraulic, ila siku hizi Wachina wamewaletea Tazara locomotive za Diesel Electric zenye design modern kabisa - ukiziangalia kijuu juu unaweza kufikiri zimehundwa Amerika kwenye viwanda vya General Electric - sasa sijui kwa nini Wachina wamewapa Wakenya locomotive za structural design ya miaka sabini na themanini??
Yes as i told you they have a place to go and they will not ask any Danganyikan like you what to do after the trainingKibera is enough to shut them down without needing any other.
And I told you our trains are electrified and highly technological sophisticated, they will never fit in Tanzania because we don't have their vacancies we don't have some earlier stone age trains in which they are experts on them.Yes as i told you they have a place to go and they will not ask any Danganyikan like you what to do after the training
Aongezewe dawa dose nyingine.chanjo Moja haitoshi.....aapewe kenya lapsset dose...Usidanganye watu, Kenyans are not only primed to apply a law of the junggle they also have an inflated view of their importance in East Africa - One more thing, 4 some strange reasons you seem to have 4gotten how Kenyatta went down on his knees begging Ti Xing Ping kuwajengea reli, kama nyinyi zaidi kwa nini mmeshindwa kujenga reli kwa kutumia coffers zenu - maneno tu na majisifu.
Where are they?? The trains??And I told you our trains are electrified and highly technological sophisticated, they will never fit in Tanzania because we don't have their vacancies we don't have some earlier stone age trains in which they are experts on them.
Mimi nilikuwa natania tu, si rahisi kujenga reli bila mkopo.