Kenya secures $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu

Usidanganye watu, Kenyans are not only primed to apply a law of the junggle they also have an inflated view of their importance in East Africa - One more thing, 4 some strange reasons you seem to have 4gotten how Kenyatta went down on his knees begging Ti Xing Ping kuwajengea reli, kama nyinyi zaidi kwa nini mmeshindwa kujenga reli kwa kutumia coffers zenu - maneno tu na majisifu.
vipi ile yenu ya umeme😀 imeisha mkuu
 
Nani ana picha za renders Za from naivasha to malaba alete please.this are the next big stations we need to see
 
vipi ile yenu ya umeme😀 imeisha mkuu

Mkuu binafsi sielewi kwa nini Watanzania tunapigia debe train ya umeme ya kutoka Morogoro kuja Dar, tena train yenyewe ni ya kubeba abiria siyo mizigo!! Sometimes priorities zetu ni highly questionable - Mkuu nchi gani Africa yenye umeme wa kuaminka labda Egypt na hivi sasa Ethiopia, hivi sasa nchi zetu hizi haziitaji bullet trains kama Shinkansen za Japan au TGV za Ufaransa - priority zetu ziwekezwe kwenye freight trains siyo passenger trains - mwendo kasi wa kufurahisha abiria auwezi kutufikisha popote - tukumbuke revenue zinakuwa generated kwa kubeba mizigo mingi siyo abiria, abiria ni kama Service tu - actually faida yake ni sawa sawa na hakuna.

Kwa upande wetu mimi ningependelea zaidi kama ujenzi wa reli ya kati wangepewa Wachina kama walivyo fanya wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kusema reli yetu tutaijenga in piece meal sielewi mantiki yake hata kidogo - reli inapaswa kujengwa seamlessly na contractor mmoja tangu mwanzo wa reli mpaka mwisho, haya mambo ya kusema kilometer fulani ijengwe nchi fulani zinazo fuata wapewe Taifa lingine, yaani kila contractor anakuja na sleepers zake na reli yake mpaka tufike mwisho sijui tuta engage makandrasi wangapi tena wenye workmanship tofauti ingawa wanasema atakuwepo msimamizi mkuu wa Project hii mimi 'am not convienced hata kidogo, tungekuwa serious tusingezungumzia trains za umeme za abiria kutoka Moro kuja Dar wakati nishati ya umeme nchini bado ni mgogoro, hayo yanaweza kufanyika tukiwa na umeme wa kuaminika hata wenzetu wa Kenya siyo kwamba wanashindwa kuweka Loco za umeme wanasubiri mpaka watakapo kuwa na umeme wa kutosha na kuaminika - Locos ni rahisi kuzibadirisha kutoka kwenye mfumo wa Diesel Electric to pure Electric Locos at opportune time siyo hivi sasa.
 
Its funny, unalalamika trade imbalance btwn Kenya and China is growing in Chinese favour. Huku unachukuwa more loan, tena ni commercial loan, na hakuna mtu yoyote anaweza Ku bid ila ni mchina peke yake.
Wanasema kukopa harusi.. kulipa matanga.

Ila haya yote ni uchaguzi tu.. ngoja upite tutajua tu.
 
Mkuu binafsi sielewi kwa nini Watanzania tunapigia debe train ya umeme ya kutoka Morogoro kuja Dar, tena train yenyewe ni ya kubeba abiria siyo mizigo!! Sometimes priorities zetu ni highly questionable - Mkuu nchi gani Africa yenye umeme wa kuaminka labda Egypt na hivi sasa Ethiopia, hivi sasa nchi zetu hizi haziitaji bullet trains kama Shinkansen za Japan au TGV za Ufaransa - priority zetu ziwekezwe kwenye freight trains siyo passenger trains - mwendo kasi wa kufurahisha abiria auwezi kutufikisha popote - tukumbuke revenue zinakuwa generated kwa kubeba mizigo mingi siyo abiria, abiria ni kama Service tu - actually faida yake ni sawa sawa na hakuna.

Kwa upande wetu mimi ningependelea zaidi kama ujenzi wa reli ya kati wangepewa Wachina kama walivyo fanya wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kusema reli yetu tutaijenga in piece meal sielewi mantiki yake hata kidogo - reli inapaswa kujengwa seamlessly na contractor mmoja tangu mwanzo wa reli mpaka mwisho, haya mambo ya kusema kilometer fulani ijengwe nchi fulani zinazo fuata wapewe Taifa lingine, yaani kila contractor anakuja na sleepers zake na reli yake mpaka tufike mwisho sijui tuta engage makandrasi wangapi tena wenye workmanship tofauti ingawa wanasema atakuwepo msimamizi mkuu wa Project hii mimi 'am not convienced hata kidogo, tungekuwa serious tusingezungumzia trains za umeme za abiria kutoka Moro kuja Dar wakati nishati ya umeme nchini bado ni mgogoro, hayo yanaweza kufanyika tukiwa na umeme wa kuaminika hata wenzetu wa Kenya siyo kwamba wanashindwa kuweka Loco za umeme wanasubiri mpaka watakapo kuwa na umeme wa kutosha na kuaminika - Locos ni rahisi kuzibadirisha kutoka kwenye mfumo wa Diesel Electric to pure Electric Locos at opportune time siyo hivi sasa.
This is the most sensible comment I have ever read from a Tanzanian
 
Wanasema kukopa harusi.. kulipa matanga.

Ila haya yote ni uchaguzi tu.. ngoja upite tutajua tu.
Ni kweli, baadhi ya wakenya wenyewe wanahoji harakati za ukopaji wa serikali hii inayomaliza muda wake. Jamaa hao wawili wamekopa kuliko serikali zote zilizopita. Hakuna mwenye uhakika kama miradi italipa au itakuwa ni tembo mweupe.
 
Sasa hao vijana wanaoenda kupata training ya namna ya kuendesha hizo trains watapata wapi trains za kufanana na hizo huko China sababu trains zenu hazipatikani popote duniani anymore may be some 50 years back.

Tulia dawa ikuingie...
 
Sasa hao vijana wanaoenda kupata training ya namna ya kuendesha hizo trains watapata wapi trains za kufanana na hizo huko China sababu trains zenu hazipatikani popote duniani anymore may be some 50 years back.
Don't worry about them, obviously they will not come to complain in Dar is Slum
 
Mkuu binafsi sielewi kwa nini Watanzania tunapigia debe train ya umeme ya kutoka Morogoro kuja Dar, tena train yenyewe ni ya kubeba abiria siyo mizigo!! Sometimes priorities zetu ni highly questionable - Mkuu nchi gani Africa yenye umeme wa kuaminka labda Egypt na hivi sasa Ethiopia, hivi sasa nchi zetu hizi haziitaji bullet trains kama Shinkansen za Japan au TGV za Ufaransa - priority zetu ziwekezwe kwenye freight trains siyo passenger trains - mwendo kasi wa kufurahisha abiria auwezi kutufikisha popote - tukumbuke revenue zinakuwa generated kwa kubeba mizigo mingi siyo abiria, abiria ni kama Service tu - actually faida yake ni sawa sawa na hakuna.

Kwa upande wetu mimi ningependelea zaidi kama ujenzi wa reli ya kati wangepewa Wachina kama walivyo fanya wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kusema reli yetu tutaijenga in piece meal sielewi mantiki yake hata kidogo - reli inapaswa kujengwa seamlessly na contractor mmoja tangu mwanzo wa reli mpaka mwisho, haya mambo ya kusema kilometer fulani ijengwe nchi fulani zinazo fuata wapewe Taifa lingine, yaani kila contractor anakuja na sleepers zake na reli yake mpaka tufike mwisho sijui tuta engage makandrasi wangapi tena wenye workmanship tofauti ingawa wanasema atakuwepo msimamizi mkuu wa Project hii mimi 'am not convienced hata kidogo, tungekuwa serious tusingezungumzia trains za umeme za abiria kutoka Moro kuja Dar wakati nishati ya umeme nchini bado ni mgogoro, hayo yanaweza kufanyika tukiwa na umeme wa kuaminika hata wenzetu wa Kenya siyo kwamba wanashindwa kuweka Loco za umeme wanasubiri mpaka watakapo kuwa na umeme wa kutosha na kuaminika - Locos ni rahisi kuzibadirisha kutoka kwenye mfumo wa Diesel Electric to pure Electric Locos at opportune time siyo hivi sasa.

Hivi wewe Mtanzania kweli? Unajadili hoja bila ushabiki wowote ila ukweli, Wabongo wote hap JF ni tofauti sana nawe
 
Mkuu zinazo fanana na hizo zipo Tazara wamezi-park kwenye Workshops wakati mwingine wanazitumia kwenye shunting siyo mainline - ukisoma nameplate za loco za TAZARA nyingi zinaonekana zilihundwa kwenye miaka ya sabini na themanini, tofauti ya loco za Kenya za hizi za TAZARA ni kwenye transmission na HorsePower za Engine - Kenya transmission ni Diesel Electric za TAZARA ni Diesel Hydraulic, ila siku hizi Wachina wamewaletea Tazara locomotive za Diesel Electric zenye design modern kabisa - ukiziangalia kijuu juu unaweza kufikiri zimehundwa Amerika kwenye viwanda vya General Electric - sasa sijui kwa nini Wachina wamewapa Wakenya locomotive za structural design ya miaka sabini na themanini??

mchina Mungu anawaona
 
Yes as i told you they have a place to go and they will not ask any Danganyikan like you what to do after the training
And I told you our trains are electrified and highly technological sophisticated, they will never fit in Tanzania because we don't have their vacancies we don't have some earlier stone age trains in which they are experts on them.
 
Usidanganye watu, Kenyans are not only primed to apply a law of the junggle they also have an inflated view of their importance in East Africa - One more thing, 4 some strange reasons you seem to have 4gotten how Kenyatta went down on his knees begging Ti Xing Ping kuwajengea reli, kama nyinyi zaidi kwa nini mmeshindwa kujenga reli kwa kutumia coffers zenu - maneno tu na majisifu.
Aongezewe dawa dose nyingine.chanjo Moja haitoshi.....aapewe kenya lapsset dose...
 
And I told you our trains are electrified and highly technological sophisticated, they will never fit in Tanzania because we don't have their vacancies we don't have some earlier stone age trains in which they are experts on them.
Where are they?? The trains??
oooooooh
If you are talking of this ones here, i agree, they wont! I don't think they will be able to look for firewood enough to pull this things.
tazara-train-61.jpg

I forgot to ask you, who designed this Tazara Rail? it looks quite sophisticated for our learned boys and girls training in China
pa180056.jpg
 
Mimi nilikuwa natania tu, si rahisi kujenga reli bila mkopo.

You wish....... Tanganyika inajenga Na pesa zake. Ebu ueke bayana mkataba Na uturuki hapa JF tuone hizo fedha za Tanganyika!!! Ata Mtoto chekechea ataimba hilo shairi pesa zetu.....provide evidence, don't just say something any mad man can claim just for kicks!!!!
 
Back
Top Bottom