Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.
Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube
Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka