Kenya Seneta Onyonka anaulizia kwanini mtu moja awe na mamillion ya ekari za ardhi

Kenya Seneta Onyonka anaulizia kwanini mtu moja awe na mamillion ya ekari za ardhi

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Even in our Country Tanzania 🇹🇿, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii.

Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.

Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube

Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka
 
Even in our Country Tanzania 🇹🇿, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii. Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.

Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube
Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka
Huku umavini kwetu tunayoyajua kuhusu ukwasi wa wizi wa viongozi wetu ni kama tone kwenye bahari, siku yakifunuka madudu ya nchi hii, utaamini, Ila elewa asilimia moja ya watz wanamiriki almost 60% ya utajili wa nchi hii,
 
Even in our Country Tanzania 🇹🇿, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii. Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.

Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube
Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka
My dear friend, Kenya ni man eat man society regardless katiba mpya,vyama vingi.Ni tatizo which is genetically installed and stable.
Hata waombe kwa Mungu wa Mbingunini ni ngumu until watambue kuwa LIES DONT PAY.pia Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Kenya imegeuka nchi ya vituko ambako wanasiasa wameyageuza makanisa kama ndio majumba ya stock exchange, na nyumba za Rusfeli.
 
In Tanzania leaders wata change siku wananchi mikiwa serious, mpakapo kuwa na umoja otherwise nothing will be done
Ao walio-change kwenu wamesaidia nn kqma si mqtumbo yao? Na nani kakudanganya leaders hawa-change in Tanzania?
 
Back
Top Bottom