Generation ZIn tanzania leaders wata change siku wananchi mikiwa serious, mpakapo kuwa na umoja otherwise nothing will be done
Huku umavini kwetu tunayoyajua kuhusu ukwasi wa wizi wa viongozi wetu ni kama tone kwenye bahari, siku yakifunuka madudu ya nchi hii, utaamini, Ila elewa asilimia moja ya watz wanamiriki almost 60% ya utajili wa nchi hii,Even in our Country Tanzania ๐น๐ฟ, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii. Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.
Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube
Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka
My dear friend, Kenya ni man eat man society regardless katiba mpya,vyama vingi.Ni tatizo which is genetically installed and stable.Even in our Country Tanzania ๐น๐ฟ, leaders must change their lives the way they are living. Stolen tax collected from poor peoples. Maisha yao ya kifahari ni chukizo kwa wananzengo wa nchi hii. Kwenye nchi ukiona mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya uma na viongozi wengine wa uma wanakuwa na utajiri kuliko wafanyabiashara ujue hiyo nchi ina shida, kuna tatizo somewhere. Tuendelee kuvumiliana.
Kwa hiyo video unaweza Iona kwenye YouTube
Kwa kuandika
why should someone have 4 millions acres of land? Senator Onyonka
Ao walio-change kwenu wamesaidia nn kqma si mqtumbo yao? Na nani kakudanganya leaders hawa-change in Tanzania?In Tanzania leaders wata change siku wananchi mikiwa serious, mpakapo kuwa na umoja otherwise nothing will be done