Kenya Serikali imetoa dola milioni 295 kupunguza ongezeko kubwa la bei kwa Mlaji

Kenya Serikali imetoa dola milioni 295 kupunguza ongezeko kubwa la bei kwa Mlaji

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati Ewura imetangaza bei mpya ya mafuta bila kufafanua Serikali imeweka ruzuku kiasi gani kule Kenya Serikali yao imetenga kiasi cha dola za kimarekani milioni 295 kama ruzuku ili kupunguza maumivu ya bei kwa wananchi

Kupanda kwa bei ya mafuta ni tatizo la kidunia.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia
 
Kwa hakika hali ni ngumu sana. Hatujui nini kitatokea, ila kiukweli tutegemee bei ya bidhaa kuwa juu sana, ikiwemo nauli.
 
Wakati Ewura imetangaza bei mpya ya mafuta bila kufafanua serikali imeweka ruzuku kiasi gani kule Kenya serikali yao imetenga kiasi cha dolla za kimarekani milioni 295 kama ruzuku ili kupunguza maumivu ya bei kwa wananchi

Kupanda kwa bei ya mafuta ni tatizo la kidunia.

Source: BBC Dira ya Dunia
Nategemea hii umemtumia pia Mwenyekiti wetu kawa hatua zaidi bwashee....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
walitutangulizia jedwali kwamba sisi tuna nafuu ya bei kushinda marekani nashangaa wameongeza 300 wangeongeza hata 1000 kabisa
 
ilitakiwa atutete siyo Kula pizza [emoji487] tu Belgium mbona kipindi cha nyuma Magufur alivyo kuwa ana wasokota Barrick alikuwa kimbelembele kuongea kwa kuwa tetea wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Akutete wapi wakati Hangaya hataki mikutano ya hadharani?Halafu apigwe risasi na magufuli aje akutete kwa lipi?
 
Kwani kipindi kile Barrick na wenye makinikia walikuwa hawana midomo yakujitete mpaka Lissu akawa ana watetea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Ewura imetangaza bei mpya ya mafuta bila kufafanua serikali imeweka ruzuku kiasi gani kule Kenya serikali yao imetenga kiasi cha dolla za kimarekani milioni 295 kama ruzuku ili kupunguza maumivu ya bei kwa wananchi

Kupanda kwa bei ya mafuta ni tatizo la kidunia.

Source: BBC Dira ya Dunia
Mkuu kama huna data hautusaidii.sana sana its gossip. Panga hoja kwa takwimu.Vingivyo acha kuigeuza Jamii Forum kama Musiba forum.
 
Mkuu kama huna data hautusaidii.sana sana its gossip. Panga hoja kwa takwimu.Vingivyo acha kuigeuza Jamii Forum kama Musiba forum.
Hiyo $ 295 milioni siyo takwimu?

Source yangu iliishia hapo ukitaka ziada nenda Rau Madukani.
 
Mambo ya miradi mipya inabidi ya kae pembeni. Hiyo miradi ya makao makuu Dodoma ikiwezekana iwe frezeed. Kuangaliwe namna ya kutoa ruzuku kupunguza makali ya bei kama za fuel, mafuta ya kula....the list goes on.
 
Back
Top Bottom