Kenya Serikali imetoa dola milioni 295 kupunguza ongezeko kubwa la bei kwa Mlaji

Kenya Serikali imetoa dola milioni 295 kupunguza ongezeko kubwa la bei kwa Mlaji

Habari ya stimulus package haipo hapa bongolala, tunachofanya ni kuongeza tozo zaidi.
 
Jiongeleeni wenyewe kwani hamna midomo
Sawa Mrs VAN
Na nyinyi MBOWE team mjiongelee wenyewe.
Sio kukaa kila saa.... @wanainjiiii!

Kazi kupigania maslahi yenu tu!

Akheri Halima Mdee anawakilisha wananchi Bungeni kuliko hawa @Kaitabaaaaa!
 
Kwenye ili sakata la mafuta serikali mnaionea bure hatua za Kenya, Rwanda if anything hizo hela labda zimelenga kufidia tozo za serikali watakatozitoa kwa kipindi walichopanga kusadi mafuta yauzwe bei nafuu.

But then no one knows sakata la mafuta litaisha lini, hatujui majukumu ya kulipa madeni kwenye hizo nchi in relation to their collection, hatujui wamenegotiate nini na lenders labda wameomba waachiwe kulipa madeni kwa muda watu mie baadhi ya hela kuokoa uchumi.

In short hatujui hizo hela wanazotumia kama ruzuku wametoa wapi. So sio jambo la busara kuiga bila ya kuelewa strategy yao kamili huo ndio ukweli.

Tukirudi kwenye biashara ya mafuta duniani tatizo lipo hivi:

Watu wenye reserves kubwa ni Russia, Venezuela, Saudi Arabia, Iran, Iraq + other OPEC members.

Unapomfungia Russia mwenye 12% ya soko umetengeneza supply shortage ambayo bei ya mafuta itapanda tu as demand outstrips supply.

Kutoka kwenye hiyo conundrum kawaida OPEC inaongeza supply kufidia shortage mambo yanakuwa shwari.

Tatizo lenyewe wazalishaji wote wakubwa ukitoa Russia ni OPEC members. Na jamaa wamesema awataongeza supply + na hata wazalishaji wa US ambao ni private organisation wamefata mkondo huo huo wa kutokuongeza supply.

Madai yao ni kwamba hii bei ya mafuta leo inafidia hasara walizopata kipindi cha COVID.

Sasa kawaida OPEC wakigoma huwa kuna members wakorofi wawili Venezuela na Iran wana uwezo wa kubeba mzigo wa mtu yeyote ikibidi, na wao wapo kwenye sanction so awawezi fidia shortages.

Maana yake nini kuondoa ili tatizo la bei ya mafuta issue sio vita ya Russia tu kuna swala la OPEC ndio maana marekani kaamua kwa miezi sita atatoa 180 million barrels kuongeza supply kwao na baadhi ya nchi za dunia ya kwanza wamefuata strategy hiyo strategy hiyo.

So kuilaumu serikali maskini ya Tanzania kwenye ili sakata ni kazi bure there is nothing they can do at the moment.

Ukitoa kupanda kwa mafuta kuna issue ya kucheleweshwa kwa meli bandarini ambapo sasa hivi wenye meli wana charge downtime kutokana na hasara wanayopata Tanzania. Hizo gharama zinawekwa kwenye containers kwa wafanyabiashara na wenyewe watamuwekea mlaji. Yote hayo kisa uzembe bandarini. Watu wanaoagiza mizigo washalalamika maza hana habari na hiyo issue wala aiongelei.

So we are doomed kutokana na siasa za dunia na uzembe uliokithiri bandarini.
 
Wakati Ewura imetangaza bei mpya ya mafuta bila kufafanua serikali imeweka ruzuku kiasi gani kule Kenya serikali yao imetenga kiasi cha dolla za kimarekani milioni 295 kama ruzuku ili kupunguza maumivu ya bei kwa wananchi

Kupanda kwa bei ya mafuta ni tatizo la kidunia.

Source: BBC Dira ya Dunia

Huku mama kuonyesha kuwa hiyo hela haimhusu yeye amerudisha tena 100 tsh kama kodi
 
Sawa Mrs VAN
Na nyinyi MBOWE team mjiongelee wenyewe.
Sio kukaa kila saa.... @wanainjiiii!

Kazi kupigania maslahi yenu tu!

Akheri Halima Mdee anawakilisha wananchi Bungeni kuliko hawa @Kaitabaaaaa!
"Nyinyi MBOWE team" ndio kina nani
 
1649187061994.png
 
Kwa tanzania itabidi kila jamii irejee asili yake. Kwa matumizi ya bidhaa kama vile mafuta ya kula, wale wa kanda ya ziwa warejee samli, wa pwani nazi, wa kusini ufuta, kanda ya kati karanga (ntwili)
Kuhusu unga wa ngano watu waanze kuzoea chapati, maandazi na biskuit za mhogo. Bila kusahau makande.
Bei ya ngano + mafuta ya kula haishikiki!
 
Sawa Mrs VAN
Na nyinyi MBOWE team mjiongelee wenyewe.
Sio kukaa kila saa.... @wanainjiiii!

Kazi kupigania maslahi yenu tu!

Akheri Halima Mdee anawakilisha wananchi Bungeni kuliko hawa @Kaitabaaaaa!
Yaan wewe mbulula wa Lumumba Kuna mbuge pale wa ccm anayetetea wananchi au wanawaza matumbo Yao na watoto wao. Na ndo waliotufikisha hapa tulipo
 
Back
Top Bottom