Kwenye ili sakata la mafuta serikali mnaionea bure hatua za Kenya, Rwanda if anything hizo hela labda zimelenga kufidia tozo za serikali watakatozitoa kwa kipindi walichopanga kusadi mafuta yauzwe bei nafuu.
But then no one knows sakata la mafuta litaisha lini, hatujui majukumu ya kulipa madeni kwenye hizo nchi in relation to their collection, hatujui wamenegotiate nini na lenders labda wameomba waachiwe kulipa madeni kwa muda watu mie baadhi ya hela kuokoa uchumi.
In short hatujui hizo hela wanazotumia kama ruzuku wametoa wapi. So sio jambo la busara kuiga bila ya kuelewa strategy yao kamili huo ndio ukweli.
Tukirudi kwenye biashara ya mafuta duniani tatizo lipo hivi:
Watu wenye reserves kubwa ni Russia, Venezuela, Saudi Arabia, Iran, Iraq + other OPEC members.
Unapomfungia Russia mwenye 12% ya soko umetengeneza supply shortage ambayo bei ya mafuta itapanda tu as demand outstrips supply.
Kutoka kwenye hiyo conundrum kawaida OPEC inaongeza supply kufidia shortage mambo yanakuwa shwari.
Tatizo lenyewe wazalishaji wote wakubwa ukitoa Russia ni OPEC members. Na jamaa wamesema awataongeza supply + na hata wazalishaji wa US ambao ni private organisation wamefata mkondo huo huo wa kutokuongeza supply.
Madai yao ni kwamba hii bei ya mafuta leo inafidia hasara walizopata kipindi cha COVID.
Sasa kawaida OPEC wakigoma huwa kuna members wakorofi wawili Venezuela na Iran wana uwezo wa kubeba mzigo wa mtu yeyote ikibidi, na wao wapo kwenye sanction so awawezi fidia shortages.
Maana yake nini kuondoa ili tatizo la bei ya mafuta issue sio vita ya Russia tu kuna swala la OPEC ndio maana marekani kaamua kwa miezi sita atatoa 180 million barrels kuongeza supply kwao na baadhi ya nchi za dunia ya kwanza wamefuata strategy hiyo strategy hiyo.
So kuilaumu serikali maskini ya Tanzania kwenye ili sakata ni kazi bure there is nothing they can do at the moment.
Ukitoa kupanda kwa mafuta kuna issue ya kucheleweshwa kwa meli bandarini ambapo sasa hivi wenye meli wana charge downtime kutokana na hasara wanayopata Tanzania. Hizo gharama zinawekwa kwenye containers kwa wafanyabiashara na wenyewe watamuwekea mlaji. Yote hayo kisa uzembe bandarini. Watu wanaoagiza mizigo washalalamika maza hana habari na hiyo issue wala aiongelei.
So we are doomed kutokana na siasa za dunia na uzembe uliokithiri bandarini.