BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77
Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala wake utaondoa ruzuku ya mafuta na chakula kwa maelezo kuwa imekuwa haitekelezeki na inaongeza mzigo kwa serikali.
Kumekuwa na wasiwasi kwamba kuondolewa kabisa kwa ruzuku hizo kungeathiri uchumi kwa kiasi kikubwa kwani bei ya mafuta huathiri moja kwa moja gharama ya maisha.