Uchumi ukiwa mkubwa na hivyo hivyo vipato vya watu lazima viwe vikubwa........maana vipato vikubwa au mzunguko mkubwa wa pesa ndo unafanya uchumi kuwa juu zaidi na pia serikali inakuwa na uwezo wa kulipa zaidi au kufanya matumizi zaidi.Vipato vya wananchi ni kama bongo mkuu, sioni tofauti ya maisha ya mtu mmoja mmoja na Tanzania.
Kama wanatuzidi kiuchumi kiserikali.