Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chandomo wapo??? Maana walipopigwa BAN walilalamika wakati walikuwa wameandaa mapipa ya mafuta kuyalipua ili kuanzisha vita, sasa waone huyo waliyekuwa wanampigia chapuoKatika maandamano kamahayo wezi ndio huvuruga maana wanachangamkia fursa yakuvunja na kuiba Mali zawatu.
Halafu inachekesha sana, yaani wanasiasa wa kibongo ni vichwa vya hakuna uwezo wa kufikiri, wanaendeshwa na mihemukoKweli mda ni mwamuzi mzuri
Zitto na waropokaji wengine kutoka CHADEMA mko wapi aisee?
Poa sanaSawa mkuu. Andamana nami kwa yale tunayoyaweza, tusiyo yaweza tunawaachia wenyewe.. [emoji4] [emoji4]
Siku zote maandamano yanakuwa hivyo huku Afrika, taja ni nchi gani Afrika maandamano yalimalizika bila fujofujo japo kidogo?, kawaida waandamanaji au polisi wanaanzisha fujo, mlipopitisha kwenye katiba kuruhusu maandamano hamkulijua hilo, kwani mnaishi pinguni?, huko ni kukandamiza demokrasia kama anavyofanya Magufuli, yeye pia alitoa sababu hizo hizo kwamba maandamano yatavunja amani, haiwezikani akizuia Magufuli iwe ni udikteta, lakini kwa Uhuru Kenyatta kuwe ni halali.Hayo maandamano hayajakua ya amani kamwe labda Mombasa tu...kisumu na Nairobi uporaji wa mali na uharibifu wa mali ndo imesheheni kila wakati NASA wanaandamana.yani hadi county ya homabay wamewapiga polisi watatu na kuwajeruhi vibaya.wanaosema maandamano yamekua ya amani hamjui chochote.ingekua serikali isiowajibika ikuwa haingeingilia kati, rights to picketing has limits
Siku zote maandamano yanakuwa hivyo huku Afrika, taja ni nchi gani Afrika maandamano yalimalizika bila fujofujo japo kidogo?, kawaida waandamanaji au polisi wanaanzisha fujo, mlipopitisha kwenye katiba kuruhusu maandamano hamkulijua hilo, kwani mnaishi pinguni?, huko ni kukandamiza demokrasia kama anavyofanya Magufuli, yeye pia alitoa sababu hizo hizo kwamba maandamano yatavunja amani, haiwezikani akizuia Magufuli iwe ni udikteta, lakini kwa Uhuru Kenyatta kuwe ni halali.
Nadhani umenipata vizuri