Hamia huko si unapenda njaa.Salama wa kuu....
Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.
............
BADO KWETU
Yaani mkuu huwa najiuliza sana hawa wanao mtetea kwa haya afanyayo sasa ni kutawaliwa na ujinga au upoyoyo?Watasema Kenya wanamuhujumu Magu na kuna mkono wa Lowassa.
Hawa ni wabinafsi na wanatumikia matumbo yao na ya wanaowatuma.Yaani mkuu huwa najiuliza sana hawa wanao mtetea kwa haya afanyayo sasa ni kutawaliwa na ujinga au upoyoyo?
Maana kama ni Watanzania wanadharau mambo mazito hivi kwa wananchi utadhani ndugu na jamaa zao wote wanaishi New York kumbe wako huko Nanjilinji na shida na mashaka matupu.
Jee hawana huruma na ndugu hata kama wao wana maisha mazuri?
Kupongezwa sio lazima, kwani kama unamtumishi wako na unamlipa vizuri unategemea nini kama sio utendaji mzuri?Vile vile atakapofanya vizur tumpongeze pia
Hatuwezi kufanana ila angalau uelewa uelekee basi.Usiforce tufanane
Akili zingine du!!!Watasema Kenya wanamuhujumu Magu na kuna mkono wa Lowassa.
Ni mwaka gani Kenya haijawahi kuwa tegemezi kwa chakula? Hicho kichwa tumia kufikiri. Si kila linalotokea Kenya linatokea Tanzania pia. Be original kuliko kuigaiga, na hili ndilo linawafanya wakenye watuone malofa!Salama wa kuu....
Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.
............
BADO KWETU
Umesikiliza hiyo taarifa? Mbona unauliza maswali ya kipuuzi?yani unafikiri kuwepo kwa ukame ndio njaa? je wametangaza ukame au wametangaza njaa?
Sasa hiyo ni njaa au upungufu wa chakula? Tofautisha njaa na upungufu wa chakula.Salama wa kuu....
Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.
............
BADO KWETU
Nina mpango wa kununua angalau magunia mawili ya mahindi, naona kama nitaweza kuanzisha ranch ya angalau ng'ombe 20 hivi mwaka huu.Nawewe tangaza kama unaweza
Hatufi njaa sab tuna mchele kubao mtama kibao maharage kibao njugu kibao uwele kibao karanga kibao na mihogo kibao viazi mbatata na vitamu kibao tuna upungufu wa mahindi tu. Sasa tutakufaje njaa kwani wanaopenda ugali hawawezi kula hivyo vyakula vingine kwa kipindi kifupi?Wametangaza njaa jombaa...
Ni Janga hili. Si la kufumbia macho...
Sema sisi tuna kiburi kwa kuwa tuna Faru John, hatutakufa njaa.
Haiwezekani kwa sab yuko makini anajua anachokifanya is the best president ever.Itafika mahali wanaomtetea huyu mtu wataishindwa kuingia humu.