pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hivi "LAGBI" ndio mchezo gani?Kenya Lionesses qualified through the qualifiers held in Tunisia despite lossing to SA women 15 - 14 in the finals!!!View attachment 1232163View attachment 1232164
Ebu tuonyeshe timu yenu ya mchezo wa Raga?Kama hii huwa hamuwezi leta humu πππ
Izo zoote hazina faida mkuu... Tunahitaji muongoze kwa kilimo ili wananchi wasife njaaa..Oyaaa!! Hii ni too much sasa, waambiwe wasubiri walau tupate fursa ya kushabikia moja, sio ukiangalia huku Kipchoge, ukigeuza kichwa Lawrence Cherono, ukifumba macho kufumbua dada yetu Brigid amevunja rekodi, bado hatujatulia dada zetu wa mpira wa mabavu ndio hao wameibuka...yaani hata naona mod wameamua kuunganisha nyuzi maana duh Wakenya sijui wamekula nini.
Tupewe nafasi ya kusheherekea moja baada ya nyingine....hehehe
Yuuuule aliyeolewa south last week mmekausha kama hamumuoni... Basi kama nyie mnamficha ngoja mi nikamtafute alafubnimtengenezee thread..
Mkenya aanayebeba wakenya kimataifa
Jinyonge ππThe point
Tunaongoza kwa kilimo ndio maana wananchi wetu hawakuli kinyesi Kama huko Bukoba.Izo zoote hazina faida mkuu... Tunahitaji muongoze kwa kilimo ili wananchi wasife njaaa..
Tunahitaj pia muongoze kwa usalama wa nchi ili wananchi wenu wasiishi kwa mashaka..
Huu ujinga wa kushabikia mambo yasiyo na msingi na kiyasahau ya msingi ndio unaowafanya mpaka kesho muishi kwa kuunga unga..
Mafanikio ya brigid na kipchonge yanakusaidia niini wewe na ndugu zako wa eldoret....
Au haujui kuwa kipchonge anatumika kukuza brand ya nike...
Hehehe!! Hivi mbona unaumia na kuteseka vyote hivyo, huyo kwenda kuolewa inakuhusu nini mbona unahisi wivu kiasi hicho, kaolewe pia, kwanza Suth kule Watanzania hawahitaji visa, unazamia tu na kwenda kutafuta kaburu, pi hata hapo jirani zenu Msumbiji walishaukubali ushoga kwenye sheria zao, huna haja ya kwenda mbali, au pia kama vipi hata Bongo kwenyewe ushoga umeshamiri japo kimya kimya, watafute wapo wengi.
Kuna huyu Mtanzania amejianika kabisa na anapewa support na wasanii, unaweza kumcheck, acha kuonea wivu Mkenya
Leo ndio rasmi naacha kukueshimu yaaani unaukunali ushoga kisa kuna nchi zimeupitisha kwa iyo na wewe unaona kitu cha kawaida...
Dah. Jf inapoteza watu aisee.. Duh very sad.. Unasapot ushoga braza
Hata maisha ya kipchoge hayakuwa yanakuhusu lakini ulisimama kidete ukaacha kutafutia pesa nyanya ako... Ukanunua bundle ukaja kwa jf kuandika...Niukubali nisiukubali ushoga, maisha ya huyu Mkenya hayanihusu, ulitegemea nifanye nini, nimpigie simu huyo Mkenya na kuamuru aache kuliwa arudi nyumbani, mbona mnamjadili sana hivi, huyo kaamua maisha yake yawe hivyo, mbona msianze kwa kujadili kuhusu hayo mashoga yaliyojaa Dar, mkimaliza hao ndio mfuate Mkenya aliyekwenda kuolewa South.
Makonda alipotaja anataka kuawufuata mashoga wenu mlango kwa mlango, mabeberu yalitoa sauti mkaufyata, sasa leo mumeibuka mnamjadili Mkenya ambaye hayupo hapa nyumbani.
Hata maisha ya kipchoge hayakuwa yanakuhusu lakini ulisimama kidete ukaacha kutafutia pesa nyanya ako... Ukanunua bundle ukaja kwa jf kuandika...
Huwa unawaza kwa kutumia brain au kiumbe kingine!??
Au brain yako ipo kwa kusifia tu na sio kurekebisha!??
Nimeuliza ushindi wa kipchoge unakuhusu lolote au unajua kusifia kuliko kukemea???Dah huyo shoga atakua anakutesa akili kweli hadi unatiririka udenda kiasi hiki, wivu wote huo wa nini, mashoga wako wengi Dar, achana na huyo keshaolewa.
Fahamu kwa Kipchoge hakuna aliyemjadili kaoa au kaolewa na nani au urefu wa dushe lake, hayo ni maisha yake binafsi, labda senge lililofumuliwa marinda ndio linaweza kuhangaika kumjadili mwanaume kwenye level hiyo.
Kipchoge tunajadili hafla ya INEO iliyomhusisha hadi akaweka rekodi mpya, tumekita kwenye kujadili hafla sio makalio yake, huwa sijui mko vipi nyie, mnataka tukae hapa kujadili mqundu wa mwanaume.
Jikite katika kujenga jamii... Ndio uzalendo uo kijana..Dah huyo shoga atakua anakutesa akili kweli hadi unatiririka udenda kiasi hiki, wivu wote huo wa nini, mashoga wako wengi Dar, achana na huyo keshaolewa.
Fahamu kwa Kipchoge hakuna aliyemjadili kaoa au kaolewa na nani au urefu wa dushe lake, hayo ni maisha yake binafsi, labda senge lililofumuliwa marinda ndio linaweza kuhangaika kumjadili mwanaume kwenye level hiyo.
Kipchoge tunajadili hafla ya INEO iliyomhusisha hadi akaweka rekodi mpya, tumekita kwenye kujadili hafla sio makalio yake, huwa sijui mko vipi nyie, mnataka tukae hapa kujadili mqundu wa mwanaume.