Kenya sevens 🏉 ladies rugby team qualify for Tokyo 2020 olympics

Kenya Lionesses made it to Rio Olympics in 2016, their first. I know this time round things will be 'extra crispy'. Man, I could write numerous poems about the Kenyan woman. Beauty, brains, confidence and every good thing inbetween! Congrats to the Lionesses! I trust them to do it, for God and for country.
Screenshot_2018-05-20-12-20-18-1.png
 
Hivi karibuni utaskia Harambee starlets wanasepa Olympic tena!.
 
Oyaaa!! Hii ni too much sasa, waambiwe wasubiri walau tupate fursa ya kushabikia moja, sio ukiangalia huku Kipchoge, ukigeuza kichwa Lawrence Cherono, ukifumba macho kufumbua dada yetu Brigid amevunja rekodi, bado hatujatulia dada zetu wa mpira wa mabavu ndio hao wameibuka...yaani hata naona mod wameamua kuunganisha nyuzi maana duh Wakenya sijui wamekula nini.
Tupewe nafasi ya kusheherekea moja baada ya nyingine....hehehe
Izo zoote hazina faida mkuu... Tunahitaji muongoze kwa kilimo ili wananchi wasife njaaa..

Tunahitaj pia muongoze kwa usalama wa nchi ili wananchi wenu wasiishi kwa mashaka..

Huu ujinga wa kushabikia mambo yasiyo na msingi na kiyasahau ya msingi ndio unaowafanya mpaka kesho muishi kwa kuunga unga..

Mafanikio ya brigid na kipchonge yanakusaidia niini wewe na ndugu zako wa eldoret....

Au haujui kuwa kipchonge anatumika kukuza brand ya nike...
 
Yuuuule aliyeolewa south last week mmekausha kama hamumuoni... Basi kama nyie mnamficha ngoja mi nikamtafute alafubnimtengenezee thread..

Mkenya aanayebeba wakenya kimataifa
 
Hehehe!! Hivi mbona unaumia na kuteseka vyote hivyo, huyo kwenda kuolewa inakuhusu nini mbona unahisi wivu kiasi hicho, kaolewe pia, kwanza Suth kule Watanzania hawahitaji visa, unazamia tu na kwenda kutafuta kaburu, pi hata hapo jirani zenu Msumbiji walishaukubali ushoga kwenye sheria zao, huna haja ya kwenda mbali, au pia kama vipi hata Bongo kwenyewe ushoga umeshamiri japo kimya kimya, watafute wapo wengi.
Kuna huyu Mtanzania amejianika kabisa na anapewa support na wasanii, unaweza kumcheck, acha kuonea wivu Mkenya

Izo zoote hazina faida mkuu... Tunahitaji muongoze kwa kilimo ili wananchi wasife njaaa..

Tunahitaj pia muongoze kwa usalama wa nchi ili wananchi wenu wasiishi kwa mashaka..

Huu ujinga wa kushabikia mambo yasiyo na msingi na kiyasahau ya msingi ndio unaowafanya mpaka kesho muishi kwa kuunga unga..

Mafanikio ya brigid na kipchonge yanakusaidia niini wewe na ndugu zako wa eldoret....

Au haujui kuwa kipchonge anatumika kukuza brand ya nike...
Tunaongoza kwa kilimo ndio maana wananchi wetu hawakuli kinyesi Kama huko Bukoba.

Tunaongoza kwa usalama wa Nchi ndio maana Akwilina na wanahabari wetu hawapigwi risasi na polisi wetu.

Hii mambo ya kushabikia na kuimba mapambio ndio yanayofanya wakulima wa Korosho kukosa mapato ya mavuno Yao, Bandari ya Bagamoyo kushindikana kujengwa, SGR km 200 kuwashinda kukamilisha. Bidhaa zenu ghali kuliko za hapa Kenya.

Mafanikio yetu sisi Wakenya kwa Kipchoge kushinda Ni uzalendo ila najua wivu wa kike unakusumbua.
 
Leo ndio rasmi naacha kukueshimu yaaani unaukunali ushoga kisa kuna nchi zimeupitisha kwa iyo na wewe unaona kitu cha kawaida...

Dah. Jf inapoteza watu aisee.. Duh very sad.. Unasapot ushoga braza
Hehehe!! Hivi mbona unaumia na kuteseka vyote hivyo, huyo kwenda kuolewa inakuhusu nini mbona unahisi wivu kiasi hicho, kaolewe pia, kwanza Suth kule Watanzania hawahitaji visa, unazamia tu na kwenda kutafuta kaburu, pi hata hapo jirani zenu Msumbiji walishaukubali ushoga kwenye sheria zao, huna haja ya kwenda mbali, au pia kama vipi hata Bongo kwenyewe ushoga umeshamiri japo kimya kimya, watafute wapo wengi.
Kuna huyu Mtanzania amejianika kabisa na anapewa support na wasanii, unaweza kumcheck, acha kuonea wivu Mkenya

Leo ndio rasmi naacha kukueshimu yaaani unaukunali ushoga kisa kuna nchi zimeupitisha kwa iyo na wewe unaona kitu cha kawaida...

Dah. Jf inapoteza watu aisee.. Duh very sad.. Unasapot ushoga braza

Niukubali nisiukubali ushoga, maisha ya huyu Mkenya hayanihusu, ulitegemea nifanye nini, nimpigie simu huyo Mkenya na kuamuru aache kuliwa arudi nyumbani, mbona mnamjadili sana hivi, huyo kaamua maisha yake yawe hivyo, mbona msianze kwa kujadili kuhusu hayo mashoga yaliyojaa Dar, mkimaliza hao ndio mfuate Mkenya aliyekwenda kuolewa South.

Makonda alipotaja anataka kuawufuata mashoga wenu mlango kwa mlango, mabeberu yalitoa sauti mkaufyata, sasa leo mumeibuka mnamjadili Mkenya ambaye hayupo hapa nyumbani.
 
Hata maisha ya kipchoge hayakuwa yanakuhusu lakini ulisimama kidete ukaacha kutafutia pesa nyanya ako... Ukanunua bundle ukaja kwa jf kuandika...

Huwa unawaza kwa kutumia brain au kiumbe kingine!??

Au brain yako ipo kwa kusifia tu na sio kurekebisha!??
 
Dah huyo shoga atakua anakutesa akili kweli hadi unatiririka udenda kiasi hiki, wivu wote huo wa nini, mashoga wako wengi Dar, achana na huyo keshaolewa.

Fahamu kwa Kipchoge hakuna aliyemjadili kaoa au kaolewa na nani au urefu wa dushe lake, hayo ni maisha yake binafsi, labda senge lililofumuliwa marinda ndio linaweza kuhangaika kumjadili mwanaume kwenye level hiyo.
Kipchoge tunajadili hafla ya INEO iliyomhusisha hadi akaweka rekodi mpya, tumekita kwenye kujadili hafla sio makalio yake, huwa sijui mko vipi nyie, mnataka tukae hapa kujadili mqundu wa mwanaume.
 
Nimeuliza ushindi wa kipchoge unakuhusu lolote au unajua kusifia kuliko kukemea???

Unatumia nguvu nyiingi kufanya hata yasiyokuhusu na tunakuunga mkono linapofika suala la ushoga kulikemea unakausha... Uo sio uzalendo..
 
Dah huyo shoga atakua anakutesa akili kweli hadi unatiririka udenda kiasi hiki, wivu wote huo wa nini, mashoga wako wengi Dar, achana na huyo keshaolewa.

Fahamu kwa Kipchoge hakuna aliyemjadili kaoa au kaolewa na nani au urefu wa dushe lake, hayo ni maisha yake binafsi, labda senge lililofumuliwa marinda ndio linaweza kuhangaika kumjadili mwanaume kwenye level hiyo.
Kipchoge tunajadili hafla ya INEO iliyomhusisha hadi akaweka rekodi mpya, tumekita kwenye kujadili hafla sio makalio yake, huwa sijui mko vipi nyie, mnataka tukae hapa kujadili mqundu wa mwanaume.
Jikite katika kujenga jamii... Ndio uzalendo uo kijana..

Sifia mazuri na kemea mabaya... Ukiwa busy kusifia mazuur tu wakati kuna mabaya unayaacha yachipukie...

Kamwe mtabakia mlipo linatoka hili linakuja lile...

Hata uo ugaidi unaotokea sasa ni uzembe mlioufanya kitaambo kwa kuendekeza ukabila na udini..

Sasa na huyu shoga usipokemea basi jua.. Vizazi havitagundua kuwa ni jambo baya... Yataiga na taifa litaendelea kuwa la kifala kama lilivyo sasa.

Rate ya ushoga ni kenya na uganda ipo juu saaana...
 
Na nitahakikisha huu usenge unaukemea... Haiwezekani mwanaume anaolewa na we upo hapa kuwakilisha wakenya alafu eti unaona kitu cha kawaida hakikuhusu... Ila uko busy unalalamika kipchog katukanwa kama vile ye ndio baba ako mdogo....

Sifia penye mazuri na kemea penye mabaya... Usiogope kukemea kitu kwa kuhofia maneno toka kwa wapinzani wako...

Ukikemea utasaidia wengi kuliko ukikaa kimya utapoteza wengi zaid... Media zina power saana... Umepata kipawa cha kujua kuandika na kusoma kiswahili vizuur.. Ni vyema ukatumia iyo kipaji kuokoa jamii...

Kipchoge bila kuandika wewe kuna watu walikuwa hawajui kinaendelea nin.. Na ndivyo ilivyo kwa uyo choko wa kikenya aliyeolewa... Tafuta news anzisha thread kukemea then watu watagundua kuwa kuna ubaya ambao hautakiwi kuigwa...

Na maisha yataendelea utaendelea kuandika mambo ya reli na mbio maana ndio vitu vyenu vya ajabu
 
Back
Top Bottom