Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite katika kujenga jamii... Ndio uzalendo uo kijana..
Sifia mazuri na kemea mabaya... Ukiwa busy kusifia mazuur tu wakati kuna mabaya unayaacha yachipukie...
Kamwe mtabakia mlipo linatoka hili linakuja lile...
Hata uo ugaidi unaotokea sasa ni uzembe mlioufanya kitaambo kwa kuendekeza ukabila na udini..
Sasa na huyu shoga usipokemea basi jua.. Vizazi havitagundua kuwa ni jambo baya... Yataiga na taifa litaendelea kuwa la kifala kama lilivyo sasa.
Rate ya ushoga ni kenya na uganda ipo juu saaana...
Jamaa mpaka unaniquote mara mbili, dah! Pole
Kuna uzi mlifungua wa kumjadili huyo Mkenya na ndoa yake, sasa wewe kuja kutaka tumjadili humu kwa Kipchoge inaonyesha ulivyo na mahaba naye na unavyoteseka.
Kapeleke nyege zako kwenye huo uzi, utapata majibu huko, kunao wenzako wanakesha wakimjadili humo.
Nioneshe iyo thread nikaipitie.. Kama kweli ulishaitoa ungesema tu wala tusingefika mbali... Nioneshe mkuu
Kafuate ndugu zako kumjadili shoga kwenye hii link hapa chini, acha kuchafua uzi wa mashujaa
Kijana mzaliwa wa kenya aolewa kishoga South Africa
www.jamiiforums.com
Nioneshe linkbya thread uliyokemea....hii tabia ya mkenya mwenzako
Nioneshe linkbya thread uliyokemea....hii tabia ya mkenya mwenzako
Nimekuambia siwezi kuleta uzi unaojadili matumizi ya mqundu wa mwanaume, nimekutuma huko waliko Watanzania wenzio ndio wenye hupenda umbea wa tabia za kihivyo, ndio walileta huo uzi na kutiririka humo kwa raha zao, hivyo jumuika nao huko.
Mimi naleta nyuzi za kujadili mafanikio ya wanaowakilisha taifa kwenye mambo makubwa ya kuleta hamasa, ndio nikajaribu kukuelimisha siwezi nikaleta uzi unaojadili ndoa ya Kipchoge maana hayo ni mambo yake binafsi.

Bado utakuwa sio mzalendo... Unashindwa vipi kukemea uovu????
Unaacha ujinga usambae
Usipojibu pia ni ufinyu wa fikra na kuishiwa kwa hoja... Unapenda saana kutaja mikun... Wakti mimi nakusihi ukemee hii tabia ya mkenya mwenzako...Wewe utakua mgonjwa wa akili, unafaa ukapelekwe Milembe uchunguzwe, uzalendo wap na wapi kwenye miqundu ya watu, nimekuambia ukajadili na Watanzania wambea wenzako kwenye huo uzi wacha kuchafua uzi usiohusiana, kwaheri nikikujibu tena nitakua nimejishusha sana.