Kenya SGR phase 2

Kenya SGR phase 2

Najua mtakana ya Obama kwasababu asili yake ni Kenya ila George Bush naye pia mlimdekia barabara. Hata dawa ya kungamiza mbu mlipuliza kote kote mitaani. [emoji1] Wabongo kwa shobo bana.
Acha uongo ww ! wote walivyo kuja kuna barabara ambayo ilikuwa inahudumiwa na mzabuni mmoja kwa ajili ya usafi wa iyo baarabara ndio walifanya usafi ktk iyo barabara kwa kudeki na mashine maalumu na sio watu kama mnavyo tuonyeshea upuuzi wenu
 
😀😀😀
 
images
Alafu waambie wabongo kwamba hivi ndio reli huwa inatandazwa, sio wanatumia mikono ya kina luangalila Rugemalila kutandaza chuma moja moja utadhani tupo mwaka wa 1895.
Jamaa kenya kuna bus stand yamaana kama huzo train stations. Mmesafiri kwa mabasi toka uhuru na hakuna stend ya maana kenya nzima.

Wachina wanawatoa kwa UJIMA kwa kuwajengea mastation makuuubwa ili awapige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kilichobadila, kutoka kwa michoro ya hapo awali ya stesheni hadi kwenye madaraja na reli. Kilichopangwa mradi ulipoanza ndio kinajengwa.
 
Hivi Njaa Turkana iliisha?

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Treni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa inaleta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vyenu vya treni pekee yake vinaeleza yote.
Mnapigwa Njaa kule Turkana mnaona aibu kuomba tuwasaidie, nchi haina amani imejaa vikundi vya kigaidi, Nairobi pamejaa slums tu na Mazombie

Kenya ya hovyo, muda si mrefu tunawapiga chini

Magufuli ni best president Africa kwa sasa

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Mnapigwa Njaa kule Turkana mnaona aibu kuomba tuwasaidie, nchi haina amani imejaa vikundi vya kigaidi, Nairobi pamejaa slums tu na Mazombie
Kenya ya hovyo, muda si mrefu tunawapiga chini
Magufuli ni best president Africa kwa sasa
Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
Boss pamoja na ukame mkali na tishio la ugaidi dhidi ya Kenya. Gap la kiuchumi kati ya Kenya na Tanzania kufikia Aprili mwaka huu limeongezeka hadi likawa zaidi ya uchumi wa Uganda. Acha tumaini lako liwe kwa Jiwe lenu, kimya kimya, pamoja na kufunga na kuomba kwako kwamba Kenya iandamwe na misiba yote chini ya jua. Bure ukiendelea na hizi kelele zako za sijui kuipiku Kenya, utazidi tu kujiongezea vidonda vya tumbo bila sababu zozote za maana.
 
Nimepata fununu pale twitter kumetokea accident pale sgr ya Chinese kimukia tunnel?
 
Back
Top Bottom