luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Acha uongo ww ! wote walivyo kuja kuna barabara ambayo ilikuwa inahudumiwa na mzabuni mmoja kwa ajili ya usafi wa iyo baarabara ndio walifanya usafi ktk iyo barabara kwa kudeki na mashine maalumu na sio watu kama mnavyo tuonyeshea upuuzi wenuNajua mtakana ya Obama kwasababu asili yake ni Kenya ila George Bush naye pia mlimdekia barabara. Hata dawa ya kungamiza mbu mlipuliza kote kote mitaani. [emoji1] Wabongo kwa shobo bana.
😀😀😀Acha uongo ww ! wote walivyo kuja kuna barabara ambayo ilikuwa inahudumiwa na mzabuni mmoja kwa ajili ya usafi wa iyo baarabara ndio walifanya usafi ktk iyo barabara kwa kudeki na mashine maalumu na sio watu kama mnavyo tuonyeshea upuuzi wenu
Sure.. Bt we must wait for Hongkong for the green light. Nairobi has to put fingers crossed and hope for the best!This is good let's now get to the third phase
Jamaa kenya kuna bus stand yamaana kama huzo train stations. Mmesafiri kwa mabasi toka uhuru na hakuna stend ya maana kenya nzima.Alafu waambie wabongo kwamba hivi ndio reli huwa inatandazwa, sio wanatumia mikono ya kina luangalila Rugemalila kutandaza chuma moja moja utadhani tupo mwaka wa 1895.
Hakuna kilichobadila, kutoka kwa michoro ya hapo awali ya stesheni hadi kwenye madaraja na reli. Kilichopangwa mradi ulipoanza ndio kinajengwa.Jamaa kenya kuna bus stand yamaana kama huzo train stations. Mmesafiri kwa mabasi toka uhuru na hakuna stend ya maana kenya nzima.
Wachina wanawatoa kwa UJIMA kwa kuwajengea mastation makuuubwa ili awapige
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kilichobadila, kutoka kwa michoro ya hapo awali ya stesheni hadi kwenye madaraja na reli. Kilichopangwa mradi ulipoanza ndio kinajengwa.
Watu bado hupanda mabasi ,
Watu bado hupanda mabasi ,
work hard ununue gari yako
Sasa hii ndiyo mentality ya viongozi wakenya, ndiyo maana watu wanakufa kwa njaa wengine wanawatusi kuwa ni wavivu. Serikali iko bsy kusafiri kuomba mikopo waitafune.Watu bado hupanda mabasi ,
work hard ununue gari yako
Matako ni nyanyako,nugu.Matako yako
Yaani maskini wakenya wanashindwa Afford mlo wananunua wapi gari.
Ukija tz magari binafsi sio shida hata bei ni ndogo.
Jibu swali sio unarukaruka. Mpokoti wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hatuna nyanya labda bibi yako[emoji23][emoji23][emoji23]Matako ni nyanyako,nugu.
Mnapigwa Njaa kule Turkana mnaona aibu kuomba tuwasaidie, nchi haina amani imejaa vikundi vya kigaidi, Nairobi pamejaa slums tu na MazombieTreni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa inaleta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vyenu vya treni pekee yake vinaeleza yote.
Inabidi hii umwambie mchina ila uanze na neno "please" maana bila yeye hamna mnaloweza hapo.Let's go guys. 3rd and final leg beckoning
Boss pamoja na ukame mkali na tishio la ugaidi dhidi ya Kenya. Gap la kiuchumi kati ya Kenya na Tanzania kufikia Aprili mwaka huu limeongezeka hadi likawa zaidi ya uchumi wa Uganda. Acha tumaini lako liwe kwa Jiwe lenu, kimya kimya, pamoja na kufunga na kuomba kwako kwamba Kenya iandamwe na misiba yote chini ya jua. Bure ukiendelea na hizi kelele zako za sijui kuipiku Kenya, utazidi tu kujiongezea vidonda vya tumbo bila sababu zozote za maana.Mnapigwa Njaa kule Turkana mnaona aibu kuomba tuwasaidie, nchi haina amani imejaa vikundi vya kigaidi, Nairobi pamejaa slums tu na Mazombie
Kenya ya hovyo, muda si mrefu tunawapiga chini
Magufuli ni best president Africa kwa sasa
Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
Inabidi hii umwambie mchina ila uanze na neno "please" maana bila yeye hamna mnaloweza hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unauita povu!! Sasa mchina akigoma si ndiyo basi au mtaenda kwa TrumpNaona mnatokwa na Povu kweli. Hizo choo zenu mnaziita stations zitaisha 3020?
Ukweli unauita povu!! Sasa mchina akigoma si ndiyo basi au mtaenda kwa Trump
Sent using Jamii Forums mobile app