Mipovu inawatoka tu, nendeni kaangalie balance of payment ya TZ kuanzia 2015 mtaelewa vizuri. Vitu haviwezi kubadilika ghafla tatizo lenu liko hapo, ndiyo maana kila siku mna taka muone SGR ya TZ. Mfano Kenyan exports to Tz ziko at all time low unazani hiyo ni bahati mbaya! ni kweli tulikua na bado tupo kwenye hali mbaya ila jitihada za makusudi zinafanyika. Mfano mpaka 2020 mpango ni Tz kuzalisha sukuri nyingi kuliko mahitaji yake na sasa hivi viwanda vinajengwa there fore hakutakua na importation of sugar tuta anza ku export sugar. 96% ya dawa tuna agiza ila mpango by 2025 tuwe tuna agiza only 50%. Mifano ni mingi kila sector importation zinaenda zikipungua.. Sector ya ujenzi(nondo, gypsum, tiles, cement hii tumesha malizana nayo) kilimo (mbolea, matrekta) e.t.c. and ofcourse our low currency will come handy, infact its handy already go to the nearest store ask for azam energy drink you will comprehend what i have been trying to say all along.