Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kwanini CCM hawaoni kama kuna haja ya kuamsha uchumi wetu angalau uwe sambamba na wa Kenya, jilani wetu ana enjoy sana kua na sleeping giants (Tz)
inaonekana ilikuwa 22 na points hivLosses or gains?
Ilikuwa ngapi kabla?
Badoo huwa ina range 19-23tsh so bado ni mapema sana kuongelea hiloo mkuu at least inhekuwa 18tsh kwenda chini
21.Losses or gains?
Ilikuwa ngapi kabla?
Hata kama ingekuwa 1Ksh=10Tshs bado sioni cha maana.
Hii shilling ya Kenya ina thamani kuliko pesa ya Japan, sijui kiuchumi imekaaje hiyo.
Ume eleweka Mkuu.Kiwango cha thanani ya pesa hakina uhusiano na utajiri au umaskini wa nchi. Kwa mfano Japanese Yen ni shilingi 18.24 za Tanzania au shilingi 0.913 za Kenya, lakini Japan ni moja ya mataifa tajiri kabisa duniani. Ni kama ya tatu au ya nne kwa utajiri duniani. Kwa kifupi unaweza kuipa thamani kubwa pesa yako lakini usipate mtu anayeihitaji hiyo pesa yako kwa biashara zake kama huna kitu cha kumfanya mtu aihitaji hiyo hela yako!
Ukiwa bongo, kununua bidhaa za kikenya ni bei rahisi kuliko hapo mbeleni.Mimi sijaelewa mkuu??
Heading to its true value where it belongs after years of clandestine management.
Sawa mkuuUkiwa bongo, kununua bidhaa za kikenya ni bei rahisi kuliko hapo mbeleni.
Ukiwa Nairobi mtaani wa kibera, bidhaa kama mahindi ya kutoka Tanzania sasa ni bei ghali
Tunafurahia kulala. We are sleeping until "God bless us"Lakini kwanini CCM hawaoni kama kuna haja ya kuamsha uchumi wetu angalau uwe sambamba na wa Kenya, jilani wetu ana enjoy sana kua na sleeping giants (Tz)