Kenya shilling overvalued by 30pc, report claims

Baada ya IMF kutoa tamko hili, wataalam wengine wameanza kusema haya bayana
IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.

Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
 
4% growing economy mnaonaje? Next year itashuka hadi 3%.
 
Logical assertion.
Kudos bro.

Unless watuambie kama kuna mwaka GDP ilikua kwa 30pc.
 
4% growing economy mnaonaje? Next year itashuka hadi 3%.
Tukiwaambia ninyi mnapika data huwa mnakataa, "Chicken is coming back home to be roasted". Haiwezikani nchi iwe na uchumi wa $90B lakini ishindwe hata kukarabati reli ya zamani, achilia mbali kujenga reli ya SGR. Professor Manyora alishamuomba rais Uhuru Kenyatta kuwafuta kazi Gavan wa Benk Kuu na CS wa Uchumi lakini hasikilizi, Uchumi wa Kenya upo ICU.
 
Tanzania ndo wanapika data ndo maana IMF ilisema mnakuwa for 4% na si ile 7% mlipika. IMF or world bank has never disputed Kenyan economy growth
 
Magu aliona aibu ikibidii hawaletee udictator yake ya kila siku akidhani hao pia ni wanyonge wa Tz.
 
Tanzania ndo wanapika data ndo maana IMF ilisema mnakuwa for 4% na si ile 7% mlipika. IMF or world bank has never disputed Kenyan economy growth
Ila IMF inasema Mara nyingi tu kwamba Kenya mnaongeza thamani ya pesa yenu, kitu ambacho kinasababisha kuonyesha GDP yenu ni kubwa kuliko uhalisia. Kenya GDP($90B minus 30% of GDP), hiyo ndio GDP halali ya Kenya, that's why nchi yenu haiwezi kufanya mradi wowote wa maendeleo wenye thamani wa zaidi ya $500M bila kukopa.
 
Mtaendelea kulilia GDP yetu but haitarudi chini. Nenda ukachape job msiangushe growth to 2% next year. Kenya next year itagonga $120B
 
Magu aliona aibu ikibidii hawaletee udictator yake ya kila siku akidhani hao pia ni wanyonge wa Tz.
Acheni kupika data ili kupata SIFA za kijinga, Nchi tajiri inaonekana kwa kujenga miradi mikubwa kwa kutumia pesa yake, sio kwa kucheza na ripoti za kwenye makaratasi wakati " on the ground, nothing is happening".
 
Watu wa kupika data wanajulikana ukanda huu. IMF waliwagundua vilivyo. Tanzania under dictator Magu-fool is a known data cooker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…