Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Baada ya IMF kutoa tamko hili, wataalam wengine wameanza kusema haya bayana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.Baada ya IMF kutoa tamko hili, wataalam wengine wameanza kusema haya bayana
4% growing economy mnaonaje? Next year itashuka hadi 3%.IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.
Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.
Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
Kenya bado imezuilia ripoti yake ya IMF..ukiipata nitag😂😂😂4% growing economy mnaonaje? Next year itashuka hadi 3%.
Si kazi yangu kutafuta ripoti ya IMF. You are the one busy with it ndo maana umetafuta ukakosa so you want us to help you search.Kenya bado imezuilia ripoti yake ya IMF..ukiipata nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiwaambia ninyi mnapika data huwa mnakataa, "Chicken is coming back home to be roasted". Haiwezikani nchi iwe na uchumi wa $90B lakini ishindwe hata kukarabati reli ya zamani, achilia mbali kujenga reli ya SGR. Professor Manyora alishamuomba rais Uhuru Kenyatta kuwafuta kazi Gavan wa Benk Kuu na CS wa Uchumi lakini hasikilizi, Uchumi wa Kenya upo ICU.4% growing economy mnaonaje? Next year itashuka hadi 3%.
Tanzania ndo wanapika data ndo maana IMF ilisema mnakuwa for 4% na si ile 7% mlipika. IMF or world bank has never disputed Kenyan economy growthTukiwaambia ninyi mnapika data huwa mnakataa, "Chicken is coming back home to be roasted". Haiwezikani nchi iwe na uchumi wa $90B lakini ishindwe hata kukarabati reli ya zamani, achilia mbali kujenga reli ya SGR. Professor Manyora alishamuomba rais Uhuru Kenyatta kuwafuta kazi Gavan wa Benk Kuu na CS wa Uchumi lakini hasikilizi, Uchumi wa Kenya upo ICU.
Magu aliona aibu ikibidii hawaletee udictator yake ya kila siku akidhani hao pia ni wanyonge wa Tz.Tukiwaambia ninyi mnapika data huwa mnakataa, "Chicken is coming back home to be roasted". Haiwezikani nchi iwe na uchumi wa $90B lakini ishindwe hata kukarabati reli ya zamani, achilia mbali kujenga reli ya SGR. Professor Manyora alishamuomba rais Uhuru Kenyatta kuwafuta kazi Gavan wa Benk Kuu na CS wa Uchumi lakini hasikilizi, Uchumi wa Kenya upo ICU.
Ila IMF inasema Mara nyingi tu kwamba Kenya mnaongeza thamani ya pesa yenu, kitu ambacho kinasababisha kuonyesha GDP yenu ni kubwa kuliko uhalisia. Kenya GDP($90B minus 30% of GDP), hiyo ndio GDP halali ya Kenya, that's why nchi yenu haiwezi kufanya mradi wowote wa maendeleo wenye thamani wa zaidi ya $500M bila kukopa.Tanzania ndo wanapika data ndo maana IMF ilisema mnakuwa for 4% na si ile 7% mlipika. IMF or world bank has never disputed Kenyan economy growth
Iko wapi report ya IMF? Ukitaka naweza kupa ya UG,TZ, RW..Ya kenya ipo wapi??Tanzania ndo wanapika data ndo maana IMF ilisema mnakuwa for 4% na si ile 7% mlipika. IMF or world bank has never disputed Kenyan economy growth
Mtaendelea kulilia GDP yetu but haitarudi chini. Nenda ukachape job msiangushe growth to 2% next year. Kenya next year itagonga $120BIla IMF inasema Mara nyingi tu kwamba Kenya mnaongeza thamani ya pesa yenu, kitu ambacho kinasababisha kuonyesha GDP yenu ni kubwa kuliko uhalisia. Kenya GDP($90B minus 30% of GDP), hiyo ndio GDP halali ya Kenya, that's why nchi yenu haiwezi kufanya mradi wowote wa maendeleo wenye thamani wa zaidi ya $500M bila kukopa.
Acheni kupika data ili kupata SIFA za kijinga, Nchi tajiri inaonekana kwa kujenga miradi mikubwa kwa kutumia pesa yake, sio kwa kucheza na ripoti za kwenye makaratasi wakati " on the ground, nothing is happening".Magu aliona aibu ikibidii hawaletee udictator yake ya kila siku akidhani hao pia ni wanyonge wa Tz.
You are the one busy na ya Kenya. Tafuta ulete, ya Tz mkenya ndo alitafuta akaleta, so because you are busy na ya Kenya, kaitafute.Iko wapi report ya IMF? Ukitaka naweza kupa ya UG,TZ, RW..Ya kenya ipo wapi??
Hahahahaha, fake country, fake Economy, failed state.Mtaendelea kulilia GDP yetu but haitarudi chini. Nenda ukachape job msiangushe growth to 2% next year. Kenya next year itagonga $120B
Watu wa kupika data wanajulikana ukanda huu. IMF waliwagundua vilivyo. Tanzania under dictator Magu-fool is a known data cooker.Acheni kupika data ili kupata SIFA za kijinga, Nchi tajiri inaonekana kwa kujenga miradi mikubwa kwa kutumia pesa yake, sio kwa kucheza na ripoti za kwenye makaratasi wakati " on the ground, nothing is happening".
Gangster state, sorcerer's country, dictatorship country and a kidnapping nation.Hahahahaha, fake country, fake Economy, failed state.
Hehe those are public documents available at imf.org unless a country like kenya has withheld itYou are the one busy na ya Kenya. Tafuta ulete, ya Tz mkenya ndo alitafuta akaleta, so because you are busy na ya Kenya, kaitafute.
Kenya is giving you sleepless nights.Hehe those are public documents available at imf.org unless a country like kenya has withheld it