Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #41
I only know of one government that is capable of kidnap..Jubilee kidnapped Miguna miguna and put him in a toilet for a week..For days no one knew where Miguna was.. Terrible to live in fear of both alshabab kidnap and GoK kidnapSo you are placing the government and al shaabab in the same bracket. Thanks for confirming that Tanzanian govt is a gangster and terrorist group.
Kama hakuna mwenye alijua mbona wewe unajua? Go tell your dictator to release Mdude.I only know of one government that is capable of kidnap..Jubilee kidnapped Miguna miguna and put him in a toilet for a week..For days no one knew where Miguna was.. Terrible to live in fear of both alshabab kidnap and GoK kidnap
Huyu mdude ndio nani, shoga wako? Tanzania nchi huru akitaka kujipiga marisasi kama mwenzake lissu ni sawa sawa..Ila reli,barabara zitaendelea kujengwa, na amani itaendelea kutanda Tz nzima.Kama hakuna mwenye alijua mbona wewe unajua? Go tell your dictator to release Mdude.
Amani na wenzako wanalilia udictetor na utekaji nyara?Huyu mdude ndio nani, shoga wako? Tanzania nchi huru akitaka kujipiga marisasi kama mwenzake lissu ni sawa sawa..Ila reli,barabara zitaendelea kujengwa, na amani itaendelea kutanda Tz nzima.
You are paid handsomely but also you are taxed cruelty. 2022, Tanzania tutakuwa na first class Infrastructure, Hospitals, water supply, universal electricity which is reliable and very cheap, bullet train, cheap and affordable housing.We don't care, bora I'm being paid handsomely. 2022 tutakuwa tunacheza $150B nyinyi mking'ang'ana na 70B. Hata sidhani kama hiyo 70B mtafika because mtakuwa na growth ya 2%
Tanzania haina kazi na watu wazima wanaojiteka nyara, hata ukiwa billionare uamue kujipoteza shauri yako..Ukichoka kujificha utajitokeza tu kama mo dewji..Kazi iliyopo sasa ni ya kujenga barabara,reli na uchumi..Michezo ya hide & seek tumeachia watoto wa nursery schoolAmani na wenzako wanalilia udictetor na utekaji nyara?View attachment 1091722View attachment 1091723View attachment 1091724
Acha kukimbia mada, 30% of your economy is fake, that's why mnashindwa hata kukarabati reli ya zamani. Failed economy, failed state.Amani na wenzako wanalilia udictetor na utekaji nyara?View attachment 1091722View attachment 1091723View attachment 1091724
Tz GDP growth this year 4% Kenya 6.5 %.🙂🙂🙂😀😀😀😀😀😀😀Baada ya IMF kutoa tamko hili, wataalam wengine wameanza kusema haya bayana
Railway gani hii ikinyesha inaharibika??????????Acha kukimbia mada, 30% of your economy is fake, that's why mnashindwa hata kukarabati reli ya zamani. Failed economy, failed state.
Sasa hivi Tunakarabati hii reli kwa kutumia pesa yetu, toka Dar hadi Kwanza(1216Km)Railway gani hii ikinyesha inaharibika??????????View attachment 1091731
soma vizuri mvua imeharibu reliSasa hivi Tunakarabati hii reli kwa kutumia pesa yetu, toka Dar hadi Kwanza(1216Km)
1) Tunakarabati na kujenga madaraja mapya
2)Tunabadilisha mataruma mapya
3)Tunabadilisha reli iliyochakaa
4) Tunaunga reli iwe welded sio jointed kama SGR yenu
Ukarabati ukikamilika mwakani, itaweza kukimbia 80Km per hour.
Inakadiriwa kwamba ukarabati utagharimu $500M pesa yetu, sio mkopo.
Hiyo ni commuter train, ya hapo jijini Dar, hii ya Dar to Mwanza, mambo ni moto. Vipi mchina amewapa pesa ya kukarabati RVR, au amechomoa?soma vizuri mvua imeharibu reli
train taNGU LINI INAHARIBIWA NA MVUA?Hiyo ni commuter train, ya hapo jijini Dar, hii ya Dar to Mwanza, mambo ni moto. Vipi mchina amewapa pesa ya kukarabati RVR, au amechomoa?
Wacha train, hapo Nairobi mafuriko yakianza, kila kitu kinaharibiwa.train taNGU LINI INAHARIBIWA NA MVUA?
Kumbe mnapika data?uchumi wa kulipana posho na mishahara minono kumbe hamuwez hata kukarabati reli wenyewe hadi msaidiwe hahaha failed stateWe don't care, bora I'm being paid handsomely. 2022 tutakuwa tunacheza $150B nyinyi mking'ang'ana na 70B. Hata sidhani kama hiyo 70B mtafika because mtakuwa na growth ya 2%
Washajifia hao hamna nia ya kulumbana nao haoKumbe mnapika data?uchumi wa kulipana posho na mishahara minono kumbe hamuwez hata kukarabati reli wenyewe hadi msaidiwe hahaha failed state
Kila siku hua unajifanya expert wa economy.... Hata mimi ambaye sina background ya economy najua kua thamani ya pesa haiko directly propotional to uchumi wa nchi......IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.
Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
Soma vizuri hiyo article utaelewa vizuri, kitu kimoja kizuri umeanza nacho ni kwamba umesema wazi wazi kwamba wewe sio mchumi, kwahiyo sio vizuri kuzungumza kwa undani kama vile wewe ni mchumi.Kila siku hua unajifanya expert wa economy.... Hata mimi ambaye sina background ya economy najua kua thamani ya pesa haiko directly propotional to uchumi wa nchi......
Kwa mfano pesa ya China pia ni managed currency na iko undervalude by 30% maksudi kwasababu China is an exxport oriented country kwahivyo wanashukisha thamani ya nchi ili bidhaa zao zikiuzwa nje ziwe bei rahisi...
-----------------------------
Many argue that on simple purchasing power parity, the Chinese currency the Renminbi/Yuan is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods.
----------------------------Why is Chinese Currency Undervalued? - Economics Help
Many argue that on simple purchasing power parity, the Chinese currency the Renminbi is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods. The Chinese government wish to keep the…www.economicshelp.org
Lakini hii haimaanishi eti Uchumi halisi wa China = 130% * current GDP , Hata Serekali ya Tanzania ina prefere thamani ya shilingi ibaki chini kwasababu ya export ya madini na utalii mkilipwa na dollar mnapata faida nyingi..... And using the same Logic, Serekali ya Kenya huhakikisha shilingi imebaki hapo around 100 kwasababu ya kulipa madeni na pia sisi tuna import bidhaa nyingi kuliko tunacho export.... Lakini hii haimaanishi eti leo hii tukishukisha thamani ya shilingi yetu dhidi ya dollar kutoka 100 hadi 130 eti value ya uchumi nayo itashuka kwa kiwango cha 30% !!!!!