IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.
Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
Kila siku hua unajifanya expert wa economy.... Hata mimi ambaye sina background ya economy najua kua thamani ya pesa haiko directly propotional to uchumi wa nchi......
Kwa mfano pesa ya China pia ni managed currency na iko undervalude by 30% maksudi kwasababu China is an exxport oriented country kwahivyo wanashukisha thamani ya nchi ili bidhaa zao zikiuzwa nje ziwe bei rahisi...
-----------------------------
Many argue that on simple purchasing power parity, the
Chinese currency the Renminbi/Yuan is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods.
Many argue that on simple purchasing power parity, the Chinese currency the Renminbi is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods. The Chinese government wish to keep the…
www.economicshelp.org
----------------------------
Lakini hii haimaanishi eti Uchumi halisi wa China = 130% * current GDP , Hata Serekali ya Tanzania ina prefere thamani ya shilingi ibaki chini kwasababu ya export ya madini na utalii mkilipwa na dollar mnapata faida nyingi..... And using the same Logic, Serekali ya Kenya huhakikisha shilingi imebaki hapo around 100 kwasababu ya kulipa madeni na pia sisi tuna import bidhaa nyingi kuliko tunacho export.... Lakini hii haimaanishi eti leo hii tukishukisha thamani ya shilingi yetu dhidi ya dollar kutoka 100 hadi 130 eti value ya uchumi nayo itashuka kwa kiwango cha 30% !!!!!
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Currency exchange :
1USD = 2,300TSH
1USD = 101 KES
2,300 / 101 = 22 times more than Tsh, Lakini hii haimaanishi eti Kenya ikizalisha(GDP) bidhaa za thamani ya KES 10 Billion eti ni 22 times more money than kama TZ ingezalisha the same bidha.....
In other words............
If Kenya produced goods worth Kenya shillings
10,000,000,000 Billion its equivalent to a Tanzania producing goods worth TSH
227,190,342,600 Billion based on KES/TZ exchange rate.
And based on local currency to USD equivalent:
KES 10 Billion to USD = 98,787,000 Million
TSH
227,190,342,600 to USD = 98,775,545 Million