But hatukuli albino.
Kizungu ndio elimu bora eti!Mna elimu gani kuishinda Tz nyie Wakenya??
Kumbe bado hujaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kozi zinazotolewa kwa kingereza huko Ufaransa
Bring another example dude.
Wala sikubisha we vipi? ,Aliposema anatoka Kanda ya ziwa Mimi nikamueka kwenye hio Kanda haswa bila kuzingatia utawala wenu wa ndani . Ebu ni kuulize mbona Zambia ipo katika zile nchi za maziwa makuu ilihali haipo karibu na ziwa Victoria? Pili ziwa tanganyika ambalo ni ziwa kubwa na la pili kwa ukubwa Tanzania lipo mkoa wa kigoma,hivi utaitoaje kigoma kwenye Kanda ya maziwa? Tatu na kwa uhalisia kigoma haipo katikati mwa Tanzania itaiwekaje iwe moja ya mikoa ya Kati? Ndio maana nikasema kwa ajili ya mipangilio ya utawala wa nchi upo sawa lakini kwa uhalisia kigoma ipo Kanda ya ziwa .Sasa huku ulikuwa unabisha nini!
Saa nyingine vitu kama hujui jaribu kufanya tafiti kwanza na sio kupenda kubishana ovyo vitu usivyo vielewa,
Ndio maana uliambiwa ukisikia Mtanzania anatoka kanda ya ziwa au kanda ya kati haraka unafahamu anatokea mikoa ipi.
Hapana.Kumbe bado hujaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua najaribu kukwambi uende ufaransa ukasomee kozi kw kifaransa...
Kw akili zako mtu km huyo ukimuona anatema kifaransa mbele za watu..kw akili zako wewe utamuonea gere na kumwambia eti hana elimu kakariri kifaransa[emoji23][emoji23]
Nikuuliza shughuli kuu ya uchumi ya watu wa Embu lazima utajamba tu,hamna kitu kichwani ni kiingereza kibovu tu ndio mnajuaKenya ifunge shule miaka 10 bado elimu yake itazidi ya TZ.
Kama nilivyo kuambia kuwa nchi yetu imegawanywa kwenye kanda kuu sita,Wala sikubisha we vipi? ,Aliposema anatoka Kanda ya ziwa Mimi nikamueka kwenye hio Kanda haswa bila kuzingatia utawala wenu wa ndani . Ebu ni kuulize mbona Zambia ipo katika zile nchi za maziwa makuu ilihali haipo karibu na ziwa Victoria? Pili ziwa tanganyika ambalo ni ziwa kubwa na la pili kwa ukubwa Tanzania lipo mkoa wa kigoma,hivi utaitoaje kigoma kwenye Kanda ya maziwa? Tatu na kwa uhalisia kigoma haipo katikati mwa Tanzania itaiwekaje iwe moja ya mikoa ya Kati? Ndio maana nikasema kwa ajili ya mipangilio ya utawala wa nchi upo sawa lakini kwa uhalisia kigoma ipo Kanda ya ziwa .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Huu mchezo hauhitaki hasira basi, yani miaka yote elimu ulioipata itolewe kw kingereza alafu iwe hukijui..Hapana.
Wewe ndio hukunielewa
Hujambo lakini? Nimeona nikusabahiHuu mchezo hauhitaki hasira basi, yani miaka yote elimu ulioipata itolewe kw kingereza alafu iwe hukijui..
Hujambo lakini? Nimeona nikusabahiHuu mchezo hauhitaki hasira basi, yani miaka yote elimu ulioipata itolewe kw kingereza alafu iwe hukijui..
Naona iimekuingia..safi sana, wakati mwngine uje vizuriHujambo lakini? Nimeona nikusabahi
Una ham wewe si bure.Naona iimekuingia..safi sana, wakati mwngine uje vizuri