Kenya: Shule kufunguliwa mwaka 2021

Kenya: Shule kufunguliwa mwaka 2021

Halafu munadanganya watalii waje kutalii kenya huku watoto wenu mmewafungia wasiende shule. Mnaizika na sekta ya utalii mujue hilo
 
Hela walizopewa lazima waoneshe zinafanya kazi zile za mikopo ,kenya bana
 
Hakuna kozi zinazotolewa kwa kingereza huko Ufaransa
Bring another example dude.
Kumbe bado hujaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua najaribu kukwambi uende ufaransa ukasomee kozi kw kifaransa...

Kw akili zako mtu km huyo ukimuona anatema kifaransa mbele za watu..kw akili zako wewe utamuonea gere na kumwambia eti hana elimu kakariri kifaransa[emoji23][emoji23]
 
Sasa huku ulikuwa unabisha nini!
Saa nyingine vitu kama hujui jaribu kufanya tafiti kwanza na sio kupenda kubishana ovyo vitu usivyo vielewa,

Ndio maana uliambiwa ukisikia Mtanzania anatoka kanda ya ziwa au kanda ya kati haraka unafahamu anatokea mikoa ipi.
Wala sikubisha we vipi? ,Aliposema anatoka Kanda ya ziwa Mimi nikamueka kwenye hio Kanda haswa bila kuzingatia utawala wenu wa ndani . Ebu ni kuulize mbona Zambia ipo katika zile nchi za maziwa makuu ilihali haipo karibu na ziwa Victoria? Pili ziwa tanganyika ambalo ni ziwa kubwa na la pili kwa ukubwa Tanzania lipo mkoa wa kigoma,hivi utaitoaje kigoma kwenye Kanda ya maziwa? Tatu na kwa uhalisia kigoma haipo katikati mwa Tanzania itaiwekaje iwe moja ya mikoa ya Kati? Ndio maana nikasema kwa ajili ya mipangilio ya utawala wa nchi upo sawa lakini kwa uhalisia kigoma ipo Kanda ya ziwa .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe bado hujaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua najaribu kukwambi uende ufaransa ukasomee kozi kw kifaransa...

Kw akili zako mtu km huyo ukimuona anatema kifaransa mbele za watu..kw akili zako wewe utamuonea gere na kumwambia eti hana elimu kakariri kifaransa[emoji23][emoji23]
Hapana.
Wewe ndio hukunielewa
 
Kenya ifunge shule miaka 10 bado elimu yake itazidi ya TZ.
Nikuuliza shughuli kuu ya uchumi ya watu wa Embu lazima utajamba tu,hamna kitu kichwani ni kiingereza kibovu tu ndio mnajua
 
Wala sikubisha we vipi? ,Aliposema anatoka Kanda ya ziwa Mimi nikamueka kwenye hio Kanda haswa bila kuzingatia utawala wenu wa ndani . Ebu ni kuulize mbona Zambia ipo katika zile nchi za maziwa makuu ilihali haipo karibu na ziwa Victoria? Pili ziwa tanganyika ambalo ni ziwa kubwa na la pili kwa ukubwa Tanzania lipo mkoa wa kigoma,hivi utaitoaje kigoma kwenye Kanda ya maziwa? Tatu na kwa uhalisia kigoma haipo katikati mwa Tanzania itaiwekaje iwe moja ya mikoa ya Kati? Ndio maana nikasema kwa ajili ya mipangilio ya utawala wa nchi upo sawa lakini kwa uhalisia kigoma ipo Kanda ya ziwa .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kama nilivyo kuambia kuwa nchi yetu imegawanywa kwenye kanda kuu sita,

Kwani ukikubali kuwa hufahamu utaratibu wa Tz kuna tatizo gani!

Hatupo kwenye mashindano ya kuogopa kukiri kuwa hufahamu chochote kuhusu zone za Tz,

Ndio maana uliambiwa ukisikia Mtanzania anatoka kanda ya ziwa au kanda ya kati haraka unafahamu anatokea mikoa ipi,

Ni makosa yako kumuweka bila kuzingatia utaratibu wetu wa ndani na ndio maana unaleta ubishi wa kijinga na hutaki kuelekezwa.
 
Back
Top Bottom