Kenya si nchi salama kabisa kwa sasa; Mauaji ya kinyama yazidi kushamiri.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Kama ambavyo Forbes imeiweka Kenya katika nafasi ya 7 katika nchi hatari zaidi duniani kwasasa, wakenya wameendelea kudhihirisha ukweli huo kwa kuendeleza mauaji ya kinyama na kutisha karibu kila siku.

Ikumbukwe kwamba, mauaji hutokea katika nchi nyingi, lakini mauaji yanapotokea Mara kwa Mara kama inavyotokea Kenya, South Africa, Nigeria au Egypt, ndio wasiwasi na hofu inavyozidi miongoni mwa wananchi na jumuiya ya kimataifa.

Swali ni kwamba, wakenya wamekumbwa na jinamizi gani?, mbona inaonekana wanafanya mambo ya hovyo kiasi hiki?

R.I.P. Dogo, tutaonana paradiso.
 
Bro,mbona propaganda?
Hauna aibu kuamkia Kila siku na chuki kwa nchi jirani????
 
Bro,mbona propaganda?
Hauna aibu kuamkia Kila siku na chuki kwa nchi jirani????
Huyo jamaa achana na yeye he is a jobless and a bitter lowlife . Kazi yake anashindanga online 24/7 kutafuta negative news kuhusu Kenya.
 
Huyo jamaa achana na yeye he is a jobless and a bitter lowlife . Kazi yake anashindanga online 24/7 kutafuta negative news kuhusu Kenya.

Mi napendanga sana kiswahili yenu vile mwaongeanga. Ako muzuri sana.
 
Acha umama chuki au ukweli au video ujaona
Shida you guys haven't gotten enough exposure to the outside world. Are criminal activities new to you?

What about the rampant kidnappings and homicides going on in your country??

How about the multiple cases of serial killings and cannibalism cases reported in your country??

How about your chief opposition leader- Tundu Lissu getting shot more than ten times??

How about the encroachment of jihadist groups from North Mozambique??

How about the multiple rape cases going on in your country??

How about that son?
 
To get enough exposure is to get used to criminal activities, really?. Unless some one is exposed to Kenya, Afghanistan, Yemen, South Africa or Nigeria.

Can you give us evidence which shows that, those criminal activities you have mentioned occur in daily basis like in Kenya. Can you mention any which had occurred within last 30 days?.

In Kenya these killings take place every two, if not everyday. Try to read comments of your fellow Kenyans below this video clips, they are ashamed to identify themselves as Kenyans wherever they are because of these killings.
 
Ndio maana wananchi wa Kenya wanatamani kuikimbia nchi yao [emoji51][emoji51][emoji51]


 
Hii ni kweli mkuu[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Sawa,ila sikuelewi ata kidogo. Ungeandika kiswahili badala ya kingeresa kibovo
 
WaTz tupo vizuri kwa Kinge.
Wakuje wakei kusoma grammar etu vile iko Standard!!_( haa haaaa)uchochezi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…