joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kama ambavyo Forbes imeiweka Kenya katika nafasi ya 7 katika nchi hatari zaidi duniani kwasasa, wakenya wameendelea kudhihirisha ukweli huo kwa kuendeleza mauaji ya kinyama na kutisha karibu kila siku.
Ikumbukwe kwamba, mauaji hutokea katika nchi nyingi, lakini mauaji yanapotokea Mara kwa Mara kama inavyotokea Kenya, South Africa, Nigeria au Egypt, ndio wasiwasi na hofu inavyozidi miongoni mwa wananchi na jumuiya ya kimataifa.
Swali ni kwamba, wakenya wamekumbwa na jinamizi gani?, mbona inaonekana wanafanya mambo ya hovyo kiasi hiki?
R.I.P. Dogo, tutaonana paradiso.