Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Hawa hapa DRC, unalipi tena? Ladba useme ni nyinyi Watanzania ndo hua mmewekwa kwa giza na maCCM ili msiulize maswali mengi

image770x420cropped.jpg

163c4e5c-a558-4437-be51-cd34704bd26c
Huoni hapo kuwa ni chini ya UN?
 
Hapo aliyeonyesha ni TZ au UN?
Bendera ilioko begani ni ya nchi gani? Ama mkienda UN mnaacha kua watanzania? Ni picha nyingi sana tumeonyesha za KDF ndani ya Somalia. Huko Somalia tuko chini ya AU.
 
Aliyeonyesha ni nani?
UN au jwtz?
Mbona swali ni jepesi tu
 
Aliyeonyesha ni nani?
UN au jwtz?
Mbona swali ni jepesi tu
Alieionyesha ni wanahabari. Ndio maana nakwambia hakuna tofauti kama mission inaongozwa na UN ama JWTZ manake wanahabari na wapiga picha ni wale wale....
 
Mbona hawaonyeshi za JWTZ pekee ikiwa sio chini ya UN?
Uliona picha hata moja ya operation huko KIBITI?
 
Na hawa je ni kinanani??

1%20PICHA%20.jpg

Tatizo la Tanzania ni kwamba hakuna wanahabari jasiri, kazi ni kuripoti kile ambacho serekali imesema, yani vyombo vya habari ni mdomo wa serekali hakuna jengine zaidi ya hapo...

Alafu hii fiche fiche mnayofanyiwa msidhani eti ni kwasababu oparesheni ikionyeshwa hadharani itasaidia majangili, sababu kuu ni kuficha uovu wa wanajeshi, Hii ndo maana hata baada ya oparasheni kukamilika hakuna hata picha moja itachapishwa kuonyesha angalau tu kwamba wahalifu walishikwa......

Kwa kuficha oparesheni, Jeshi linaweza kubaka wanawake, kuua wananchi wasio na hatia, kuchoma nyumba na mifugo ya washukiwa kinyume na sheria alafu mtu akilalamika na kusema alitendewa unyama na askari anaambiwa leta ushahidi, na kwavile serekali ili block wanahabari kufika hata 1km kwenye tukio (hata baada ya majangili kushikwa) unapata hakuna mtu yeyote anaweza kutoa ushahidi.

Hebu soma matamshi ya askari wenu kuhusu oparesheni hio... we unafikiri askari akisema 'atakushughulikia kikamilifu' au utajua 'tofauti ya maji na moto'? hapo unafikiri ni wangapi amabao hawakua na hatia yoyote walicharazwa vibaya na wengine hata kuuliwa?.... Hio ndo sababu kuu kwanini polisi/jeshi hua hawataki kupigwa picha wakifanya oparesheni yeyote!

-----------------------------------
Akielezea tukio hilo lilivyokuwa, Kamishna Marijani amesema kundi la waharifu walikuwa na silaha za moto na ambao idadi yao haikujulikana liliweka mtego na kufanikiwa kuishambulia kwa risasi gari iliyokuwa na askari 9 waliokuwa wakitoka katika malindo kurudi kambini, na kuwaua askari 8 kati yao huku mmoja akijeruhiwa mkononi.

Amewataja askari waliuawa kuwa ni pamoja na Mkaguzi Msaidizi Peter Kiguu, Koplo Francis, PC Haruna, PC Jackson, PC Zakaria, PC Siwale, PC Maswi na PC Ayoub, ambapo pia walipora bunduki 7 zikiwemo SMG 4.
Kufuatia tukio hilo, Kamishna Marijani ametangaza vita na waharifu wote katika maeneo hayo, ambapo amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinaanza oparesheni maalum katika mkoa wa Pwani, kuhakikisha vinawasaka na kukomesha mauaji hayo ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua.

Mpaka sasa jeshi limekwisha poteza skari zaidi ya 10, inatosha…. Tunakwenda kweny oparesheni maalum, hatutakuwa na mzaha, tutawasaka popote walipo na kuwashughulikia kikamilifu, ,,, watajua tofauti ya moto na maji… mpaka jana idadi ilikuwa ni 8 kwa nne, lakini nawahakikishia kuwa ndani ya wiki moja idadi hiyo itakuwa imebadilika, na tutakuwa na hesabu tofatiamesema Marijani
-------------------------------------------------------------
 
Hao ni JWTZ?
Hao ni polisi bwasheee....
Hutoona picha za JWTZ wakiwa eti wanafanya doria, na wala hutopata taarifa za uhakika popote kuhusu JWTZ juu ta vitu sensitive.
 
wacha ujinga wewe, unataka ńikuwekee picha jwtz wakilinda forex beaurea pale arusha? ama hiyo sio doria??
 
Haya ndo hawataki uyaone wakifanya kwa oparesheni. Haya, kana majeshi yenu Sasa.
images (4).jpeg

Alafu BTW, zile picha zilizoonyeshwa hapa ni za polisi wa Kenya, si za jeshi!
 
wacha ujinga wewe, unataka ńikuwekee picha jwtz wakilinda forex beaurea pale arusha? ama hiyo sio doria??
Asa kulinda forex bureau ni doria ama tenda?
Mbona hujielewi we mkenya?
 
Haya ndo hawataki uyaone wakifanya kwa oparesheni. Haya, kana majeshi yenu Sasa.
View attachment 1844256

Alafu BTW, zile picha zilizoonyeshwa hapa ni za polisi wa Kenya, si za jeshi!
hayo ni mambo ya kawaida ila huwezi kuoneshwa hata siku moja mambo sensitive ya JWTZ.Mathalan Kibiti,Mtwara je uliona picha za ushiriki wa hayo maeneo?
 
Ni ipi ya KDF ambayo ya sensitive operation ambayo umeiona?
 
Back
Top Bottom