KENYA: Spika wa Bunge atupia mbali muswada wa kumng'oa Jaji Maraga na Makamishna wa Mahakama kuu

Hili ndo swala pekee mlilotuzidi Bongo lakin impact yake katika uchumi bado hatujaliona, wabongo wahitaj dis kind of democracy haya mambo ya kuperekeshana kibabe yashapitwa na wakati
 
Acha uongo WA dhahiri, ugumu UPI unaosemea???? Acha uzwazwa njoo uone WA Tz aalivyojazana KENYA, alaah.
Hata mimi huwa nashangazwa na dhana hii ya baadhi ya watz. Wenzao wengi tu wapo huku Kenya, ukija na hela zako fursa za kibiashara zipo kwa wingi. Tena mambo ya kupelekana huku na kule stori nyingi hamna. Ukiwa na wazo la maana na ujiaminie, baada ya muda kidogo tu unajipata umejikimu kifedha na biashara yako inakua kila uchao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…