Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Hili ndo swala pekee mlilotuzidi Bongo lakin impact yake katika uchumi bado hatujaliona, wabongo wahitaj dis kind of democracy haya mambo ya kuperekeshana kibabe yashapitwa na wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi huwa nashangazwa na dhana hii ya baadhi ya watz. Wenzao wengi tu wapo huku Kenya, ukija na hela zako fursa za kibiashara zipo kwa wingi. Tena mambo ya kupelekana huku na kule stori nyingi hamna. Ukiwa na wazo la maana na ujiaminie, baada ya muda kidogo tu unajipata umejikimu kifedha na biashara yako inakua kila uchao.Acha uongo WA dhahiri, ugumu UPI unaosemea???? Acha uzwazwa njoo uone WA Tz aalivyojazana KENYA, alaah.