Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
- Thread starter
-
- #21
Wewe ndo uanzishe huo uzi,ntutachangia!Tafuta hoja kaka. Labda ungeanzisha uzi na title kama" Je ni kwa nini bongo hatushindi medali kwenye michezo za kimataifa hata ziwe kwa nchi ya karibu kv Kenya ". Ungeanzisha uzi hivyo ningekupa darasa
Hoja hapa ni kwamba mashindano ya mwaka huu yamepata pigo baada ya hayo mataifa niliyoyataja kukataa kushiriki masindano kwa kuhofia usalama wao!
Taifa kama marekani ambalo limekuwa likishiriki mfululizo tangu mwaka 1999 na kuwa na idadi kubwa ya washiriki kuliko taifa lolote ni pigo kubwa!
Kukosekana kwa Australia, Switzerland, New Zealand na Britain ni pigo kubwa sana!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.