Kenya: Tabia ya viongozi wa Afrika kukimbia midahalo yaendelea

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Sijui ni kwann imekua tabia ya Mazoea kwa wa Afrika ,Leo Ni siku debate for the running mate zinaendelea Kenya,maajabu Ni kwamba kajitokeza dogo mmoja tu as candidate Kati ya wote walioalikwa katika first round .

Bado tunangoja usiku kwa Ruto na Musokya Kama watatokea .


Waafrika tupinguzeni hii aibu ya kuikumbia midahalo
 
Mkuu Acha Kabisa kuna raia wana maswali ambayo hawa viongozi wetu wa afrika hawana majibu yake despite manifesto za vyama vyao vinaeleza yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…