willyTrinidad
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 441
- 455
πππ This guy is a total idiot. Saying something over and over does not make it real, it only makes you look MadAre You from failed state too? [emoji1] [emoji1]
Usihamishe topic, bado unemployment rate ya Tanzania ipo chini sana ukilinganisha na Kenya, hiyo ni miongoni mwa effects za FDI. Wewe leta faida za kuwa na UN HQs nyingi.
Ahead for corruption, tribalism, extra judicial killings, unemployment, slums, hunger, terrorism and insecurities.[emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23] This guy is a total idiot. Saying something over and over does not make it real, it only makes you look Mad
Kati ya Kenya & Tz we are miles and miles ahead brother.
Explain how comes with 22% unemployment rate, 32% languish in extreme poverty??, as Kenya's is 24%.,Unemployment rate: Kenya 42%, Tanzania 22%
Ratio: 2 to 1.
Wewe subiri uone makampuni kwa macho, sisi tunayaona kwa effect ya kutengeneza ajira kwa watanzania
Acha maneno weka mziki[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Explain how comes with 22% unemployment rate, 32% languish in extreme poverty??, as Kenya's is 24%.,
you need to understand unemployment index reports, know how to interpret them, it captures mostly those in formal employment, and maybe some casual labourers to some extend, but it hardly captures the likes of mama mboga, carpenters, jua Kali artisans, self employment youths who are doing well, etc., a country can have a huge populace as unemployed yet a good number makes ends meet in unconventional ways and comfortably.
So nani anapika data Kati ya Kenya na Tanzania?., 22% unemployment yet 32% languishing in extreme poverty as at June 2018 poverty index!
Tanzania ni ovyo!!! extreme poverty 32% IMF poverty index, Unemployment 2% CCM government!., again CCM; " tunafanya maendeleo na pesa zetu"., but vyanzo vya kutega uchumi haviwezi ku finance the national budget, leave alone developmental projects!., porojo tu, Tanzania balaa!Kumbe unemployment sio 2% ya tanzania kulingana na propaganda ya ccm?
exactly!Wauzaji njugu huko wanahesabiwa kama 'employed'.
hapa mulosgikwa pabaya![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Below poverty measurement ya LDC countries is $1.9, and lower middle income is $3.20, sasa if we use $3.20 to measure poverty index Tanzania si masikini watakua 90%!!!., nchi ovyo EAC na SADC.Acha maneno weka mziki[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahahahahahahahahahaha.Tanzania ni ovyo!!! extreme poverty 32% IMF poverty index, Unemployment 2% CCM government!., again CCM; " tunafanya maendeleo na pesa zetu"., but vyanzo vya kutega uchumi haviwezi ku finance the national budget, leave alone developmental projects!., porojo tu, Tanzania balaa!
Tunagawana hela, ukiwa na dollar 500 kwa mwezi unalipa watu watatu. Services and commodities are extremely cheap( controlling inflation).Kama kila mtu Tz yuko employed vipi hii? Unemployement yenu niya makaratasi ya kufurahisha vijiwe crew.
Hahahahaha, usijisumbue kaka, wewe ni mgeni hapa hayo yote yalishazungumzwa siku zilizopita hapahapa uwanjani, wenzako walielewa na wanajua ukweli. Fungua thread watu wachangie Kama hutojificha [emoji1]hapa mulosgikwa pabaya![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Below poverty measurement ya LDC countries is $1.9, and lower middle income is $3.20, sasa if we use $3.20 to measure poverty index Tanzania si masikini watakua 90%!!!., nchi ovyo EAC na SADC.
Upo sawa, Nairobi inalea makampuni makubwa zaidi ya 100, yenye ukwasi na balance sheet iliyoshiba, ina watu less than 5% wanakula mishahara mirefu. Ukiangalia hiyo mizania ya hayo makampuni ndio utajua GDP yao inatoka wapi. Swali, ni nani wamiliki. Ukija bongo kifupi ni kuwa hakuna makampuni mengi ya kulipa hiyo mishahara then wote tunabanana kwenye kuuza madafu angalau tunafanana fanana yaani huwezi mdharau mtu anayeuza mama ntilie.Tanzania has no private sector to talk about. If we list 100 of the most profitable companies in East Africa, they'll have less than 5.
I can bet my last nickel that a huge chunk of that so called FDI in bongolala went into buying 2 or 3 mining equipment, responsible for just a handful of jobs.
Upo sawa, Nairobi inalea makampuni makubwa zaidi ya 100, yenye ukwasi na balance sheet iliyoshiba, ina watu less than 5% wanakula mishahara mirefu. Ukiangalia hiyo mizania ya hayo makampuni ndio utajua GDP yao inatoka wapi. Swali, ni nani wamiliki. Ukija bongo kifupi ni kuwa hakuna makampuni mengi ya kulipa hiyo mishahara then wote tunabanana kwenye kuuza madafu angalau tunafanana fanana yaani huwezi mdharau mtu anayeuza mama ntilie.
52% ya revenue collection yenu inatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali ambao ni 2% ya population, huo ndio usawa gani?. Kumbuka Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness na Kenya ni ya mwisho, hata mkusanye pesa nyingi kiasi gani wachache ndio wanaofaidika, the most ruthless economy in AfricanKenya ina makampuni mengi makubwa kwa madogo. Ndio maana KRA inaokota tax karibu mara mbili ya Tanzania.
Na ata kwa mishahara, Mkenya wa kawaida analipwa zaidi ya mtanzania. Sio hao 5% pekee yao.
Advantage waliyonayo ni kuwekwa kwenye MDIC , kampuni za kimataifa zinafungua ofisi zikiamini kuna soko kubwa la watu wenye kipato, wanaweza kuwa wengi ukilinganisha na tz lakini wasio kuwa nacho nao wengi yaani ukizaliwa masikini ndio basi tena, mwisho wa siku wanaanza kutafuta masoko jirani. Baada ya muda watagundua kuwa hawapo wakutosha ndipo huanza kutafuta masoko lipo huku kwenye uchumi shirikishi uliogawanywa kwa wote. Usishangae kukuta kuwa sehemu kubwa ya mapato ya kodi ni kutoka kwenye huduma na revenue from outsourcing-HC ambazo when sleeping giant wake up itakuwa balaa.52% ya revenue collection yenu inatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali ambao ni 2% ya population, huo ndio usawa gani?. Kumbuka Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness na Kenya ni ya mwisho, hata mkusanye pesa nyingi kiasi gani wachache ndio wanaofaidika, the most ruthless economy in African
hahahaha... hawa jamaa ni mabwege kweli, wanashangilia nairobi kuwa na HQs za mashirika ya kimataifa. smhUsihamishe topic, bado unemployment rate ya Tanzania ipo chini sana ukilinganisha na Kenya, hiyo ni miongoni mwa effects za FDI. Wewe leta faida za kuwa na UN HQs nyingi.
Shida ya hizi chumi zetu ni moja, ni kuwa kuna watu wametuwekea viwango na wanajua kucheza na factor. Mfano kenya ina makampuni makubwa mengi tu na ni subsdiary, mwisho wa mwaka yanaripoti consolidated accounts za east africa , even africa , na watarepatriate tu as outsourcing au dividend au mngnt contract. Sasa ukifikiria kwa makini wafaidika are few employees na consultants.hahahaha... hawa jamaa ni mabwege kweli, wanashangilia nairobi kuwa na HQs za mashirika ya kimataifa. smh
52% ya revenue collection yenu inatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali ambao ni 2% ya population, huo ndio usawa gani?. Kumbuka Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness na Kenya ni ya mwisho, hata mkusanye pesa nyingi kiasi gani wachache ndio wanaofaidika, the most ruthless economy in African