Chakula kenya ni mara 3 TanzaniaMwalimu wa Kenya analipwa mara mbili ya mtanzania.
Daktari wa Kenya analipwa mara tatu ya mtanzania.
Hii ndio sura ya kila profession.
Wafanyikazi wa serikali wanalipwa what the market pays.
Ukweli wage bill ya serikali ni kubwa, lakini pia private sector employees wanalipwa hivo hivo. Spending power ya wakenya pamoja na disposable income hauwezi compare na Tanzania.