Kenya Takes 70% of East Africa PE Funds Inflows – H1 2018

Kenya Takes 70% of East Africa PE Funds Inflows – H1 2018

Mwalimu wa Kenya analipwa mara mbili ya mtanzania.
Daktari wa Kenya analipwa mara tatu ya mtanzania.
Hii ndio sura ya kila profession.
Wafanyikazi wa serikali wanalipwa what the market pays.

Ukweli wage bill ya serikali ni kubwa, lakini pia private sector employees wanalipwa hivo hivo. Spending power ya wakenya pamoja na disposable income hauwezi compare na Tanzania.
Chakula kenya ni mara 3 Tanzania
 
Chakula kenya ni mara 3 Tanzania

Propaganda ya CCMtupu. Tembea ujue ukweli.

Sasa hivi bei ya unga Kenya iko chini ya Tanzania. Mchele vile vile. Ata sukari bei yake kwa kilo iko chini.
Mafuta ya gari bei zinafanana.
In short, bidhaa mingi bei ni kama ile ile ya Tanzania.
Hata wenzako hapa JF wameshangaa sana.

bei.JPG
 
Mwalimu wa Kenya analipwa mara mbili ya mtanzania.
Daktari wa Kenya analipwa mara tatu ya mtanzania.
Hii ndio sura ya kila profession.
Wafanyikazi wa serikali wanalipwa what the market pays.

Ukweli wage bill ya serikali ni kubwa, lakini pia private sector employees wanalipwa hivo hivo. Spending power ya wakenya pamoja na disposable income hauwezi compare na Tanzania.
Hiyo ndiyo sababu Kenya ikashika namba ya mwisho katika economic inclusiveness in Africa, na kuwa na most ruthless economy. Only 2% ya population inatumia 52% ya pato la taifa zima, 98% us population inagombania 48%. Katika hali hiyo unategemea slums na njaa zitamalizika?
 
Back
Top Bottom