Kenya, Tanzania clam Reus' 'Hakuna Matata' boots

Kenya, Tanzania clam Reus' 'Hakuna Matata' boots

Ku
Write your reply...
wakenya nyie na kiswahili wapi na wapi?? wakati lugha yenu ya taifa ni kiingereza!?
Write your reply...
wakenya nyie na kiswahili wapi na wapi?? wakati lugha yenu ya taifa ni kiingereza!?
There was a time tulienda Uganda nikimsindikiza rafiki wangu anayemiliki team ya under 17 toka makadara. The tournament was a two days event with participants drawn from Kenya, Tz and Ug. Kenyan teens made friends from across the divide unlike their counterparts from Uganda and Tanzanian. Kisa na maana!, language barrier problem.
 
tusibishane kwa mambo ya kijinga....hakuna matata ni kenyan phrase period...nimemaliza...ila sijakataa kuwa mnatumia hayo maneno mawili...point yangu ni kuwa hio phrase ilitolewa kenya...iliwahi kutumika kwa mara ya kwanza miaka ya 1980s na bendi ya kikenya ndipo ikaja ikachukuliwa na lion king
Aikutokea Kenya ila ilijulikana sana kimataifa kupitia wimbo wa Kenya hicho ni kiswahili tena cha kawaida hao wanamuziki awakubuni maneno mapya kwenye ule wimbo hata nyerere alitumia sana neno matata kabla ya huo wimbo kama lingekuwa ni neno jipwa tusinge jua maana yake kwenye ule wimbo
 
tusibishane kwa mambo ya kijinga....hakuna matata ni kenyan phrase period...nimemaliza...ila sijakataa kuwa mnatumia hayo maneno mawili...point yangu ni kuwa hio phrase ilitolewa kenya...iliwahi kutumika kwa mara ya kwanza miaka ya 1980s na bendi ya kikenya ndipo ikaja ikachukuliwa na lion king
Kwaiyo miaka 1980 ndiyo ilo neno lilianza kutumika Kenya !!!!??? Tanzania tulilitumia hata kabla ya Uhuru hata Luna video za nyerere na sauti ambazo maneno hayo yanatumika hata nyerere alipo yatumia hayakuwa maneno mapya maana tusing'e mwelewa acha ubishi wa kipuuzi ila ukweli ni kwamba wimbo wa kikenya ulisababisha ilo neno kujulikana kimataifa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Wakenya bana
 
Hakuna matata was largely popularised in the late 80's and 90's as a catchphrase for tourism in the original home of the Safari, Kenya. Disney picked it up and used it in the animation, Lion King whose setting, the pride rock, is in Hell's Gate National park, Naivasha Kenya. Lets all give credit where it is due. Watz huwa wanasema hamna wasi wasi sio hakuna matata. 😎
Chimbuko la phrase hakuna matata nadhani wimbo wa Them mushrooms jambo bwana.
 
Nikome tafadhali. Am not an alcoholic.
Ila umekomaa sana kuzidi wanaume mbona wale lesbian waandishi wa habari tulio wakamata majuzi yule mkenya alikuwa soft tu au upakagi mafuta picha ulipost mwenyewe ukaishia kunitukana hadi ukapigwa ban
 
Hahaaa I don't argue with class 6 dropouts who are planning to have their foreskins removed
I remember telling you never to quote me because you are a coward.
Don't forget to purchase a brain.It seems you don't have one.
And for your own information, I've never posted any picture of mine. Stop being ridiculous. Ignoramus.
Nyani unajikumbuka sijui wewe ni shoga
Screenshot_20181119-233833.jpg
 
Hahaaa I don't argue with class 6 dropouts who are planning to have their foreskins removed
I remember telling you never to quote me because you are a coward.
Don't forget to purchase a brain.It seems you don't have one.
And for your own information, I've never posted any picture of mine. Stop being ridiculous. Ignoramus.
Nyani shoga id yako ya zamani hii hapa
Screenshot_20181119-233542.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujulikani jinsia gani wakiume au wa kike
 
Back
Top Bottom