We are "Comrades", tunapendana, tuko pamoja, hatuna Ubinafsi ndio maana tunatumia "We" Sisi, sio "I" Mimi.
Even the opinion might be expressed on a personal perspective, individual experiences that does not mean we do not have the same thing in common, "WA"-Tanzania ni Watanzania tuu.
Tunaoneka tuna tofauti nyingi, tunapingana,tunakubaliana lakini ikifika suala la "Uzalendo", tunarudi kwenye line of duty.
Refer to "Cold War", there was never a cold war. We only refused to be used as a step stone for 2nd exodus of Colonial Masters.
Hatuwezi kuamini kama kuna Mgeni amepata restless sleep kwa ajili masilahi ya Watanzania. Yupo? Yuko wapi?
This kind of debate is not about sugar coating, its not about self praising, this is a reminder to our fellow Tanzanians.
We need to be awake, wide awake!