Kenya-Tanzania plans road linking Malindi and Bagamoyo

Aliyekuambia 'physical work' zozote Kenya kama bomoa bomoa huwa zinaanza kabla ya mipango yote kukamilika ni nani? Unadhani haya ni yale migizo yenu ya juisi na pipi?
Sasa ona jinsi kichwa chako kilivyo cha ovyo, mfadhili ambaye ni AfDB ndiye huyo anayesema Kenya haijakamilisha interllectual part, kwamba inachelewesha mradi kuanza, wewe unasema sio kweli kwa sababu umeona vibanda vimevunjwa, hiyo ni akili gani, pesa utatoa wapi kama mfadhili anasema hujakamilisha hatua za awali?, achana na kuvuta bhangi leo ni Ijumaa kuu.
 
You need a hobby. You are wasting such a huge chunk of your life, here on Kenya News getting dumber as the days go by.
 
Mbona sisi wabongo tuna-negativity namna hii?Mataifa mawili yanaposhirikiana tena kwenye miundombinu ni jambo zuri,sasa chuki zinatoka wapi?
Sijui kama umeielewa mada pia sijui kama unaijua Kenya na fitina zake dhidi ya Tanzania ?? Ningekushauri rudi kwenye mitandao inayo endana na akili zako kama BADOO au FACEBOOK ukalishwe ubuyu
 
Jibu swali...vita inatoka wapi kati ya TZ na Kenya?

Nyie msiokua na akili ndio mnatufelisha kama nchi..

By the way,dada yako,mama yako,demu wako,na wewe mwenyewe wote mna profiles badoo na fb,sasa sijui mnafanya nini kule?

Hovyo kabisa!
 
You need a hobby. You are wasting such a huge chunk of your life, here on Kenya News getting dumber as the days go by.
Kweli nimeamini mkenya ni MTU pumbaavu kabisa wanadhani watanzania atujui na atusikii kingereza basi mikenya ikija dar ikitaka kututeta wa tz inaongea kingereza [emoji3] [emoji3]
If we do not talk English it does not mean we don't under stand the meaning
 
Jibu swali...vita inatoka wapi kati ya TZ na Kenya?

Nyie msiokua na akili ndio mnatufelisha kama nchi..

By the way,dada yako,mama yako,demu wako,na wewe mwenyewe wote mna profiles badoo na fb,sasa sijui mnafanya nini kule?

Hovyo kabisa!
Unajua hii kitu inaitwa COW
 
Jibu swali...vita inatoka wapi kati ya TZ na Kenya?

Nyie msiokua na akili ndio mnatufelisha kama nchi..

By the way,dada yako,mama yako,demu wako,na wewe mwenyewe wote mna profiles badoo na fb,sasa sijui mnafanya nini kule?

Hovyo kabisa!
Oy we shoga ebu rudi Facebook ukalishwe ubuyu jf uiwezi kama ujui ujuma za wakenya dhidi ya Tanzania wewe lazima utakua chokoo siyo bure ila kwa kukusaidia rejea hivi vitu
COW
EPA
FIRST EAC
Kwa kifupi kuusu EAC ya kwanza ilivunjwa na wakenya hapa wakenya aliakikisha ndege zote za EAC solo upande wao yaani nchini Kenya na kuzichukua kama za kwao
Pia Kenya ili nunua viwanda vya maziwa tz kama wawekezaji kipindi cha mkapa kumbe nia yao nikukiua hicho kiwanda na kuamishia mitambo nchini kwao tukababi na magofu mitambo yote wamebeba kupeleka uzalishaji kwao kisha kutuletea maziwa tz
Kuusu EPA wazungu wakiitumia Kenya walikula njama na wazungu kuujumu tz
Yapo mambo maelfu kwa maelfu sina muda kukuelimisha we wai Facebook kula ubuyu
 
Ushoga umekuzidi mpaka unaita wenzio mashoga kama wewe?...Kama hujui ,mashoga wana tabia ya kusema "Oy"!...Hebu jipange.

Kumbe werevu wako ni maandazi sana,yaani ushasahau somo la form two la kwanini EAC ilikufa?Ushasahau?Ulipita sekondari kweli wewe?Mtihani wa Taifa wa Form Two wa Civics na History ulifeli vibaya,maana hakuna sababu kama hiyo uliyoitoa hapa.Please karudie Form Two ujifunze vizuri!

Na pia nijibu hili swali,kwanini sasa hivi EAC imerudi?Sababu ni nini?Swali la Form Two hili.Cha ajabu utafeli tena.

Wewe kiazi acha uganga...Taja hivyo viwanda...Na pia umesahau,tulisoma darasani sababu ya kufa kwa viwanda Tanzania,hakuna sababu mahali eti Wakenya waliiba..Sababu zipo na tulizisoma,unazotoa hapa ni upumbavu na name calling..Viwanda asimilia karibu 80% nchi vilibinafsishwa SA,na vikafa,Kenya ilinunua viwanda vichache tu..Sasa sijui unaonge madudu gani...Sababu zipo,na pia Mkapa alizitaja.Kasome vizuri.

EPA ilihusika vipi na Wakenya au member yoyote wa East Africa?Scandal ya EPA unaifahamu wewe nguruwe?Tuliiba Watanzania wenyewe,sijaona Mkenya au Mganda hata mmoja kwenye list...

Dada yako,mama yako,demu wako wote tupo nae FB na Badoo...Waulize walishaniuzia uchi mara ngapi halafu uje hapa utoe matokeo!

Shida ni kua,huna akili unaishia matusi yasiyokua na mpango..EAC ni bloc,wanashirikiana tangu milenia na milenia,sasa wewe mwehu unaleta chuki za kitoto na za kufikirika mno...Mi nadhani wewe tu ndio una shida na EAC members tu katika personal level yako wewe....Wachawi ndani ya taifa letu ni viongozi wetu na CCM basi...

Leo unasema Waganda,Wakenya,kesho utasema Wachagga wezi wahame Tanzania...Una Xenophobia na hizi ni dalili mbaya sana!
 
Kweli nimeamini mkenya ni MTU pumbaavu kabisa wanadhani watanzania atujui na atusikii kingereza basi mikenya ikija dar ikitaka kututeta wa tz inaongea kingereza [emoji3] [emoji3]
If we do not talk English it does not mean we don't under stand the meaning
WTF are you on about? Please summerise. 😀 Kiingereza ni lugha kama nyingine tu. Acha longolongo zako wewe English Medium inakuhusu.
 
Ushoga umekuzidi mpaka unaita wenzio mashoga kama wewe?...Kama hujui ,mashoga wana tabia ya kusema "Oy"!...Hebu jipange.

Kumbe werevu wako ni maandazi sana,yaani ushasahau somo la form two la kwanini EAC ilikufa?Ushasahau?Ulipita sekondari kweli wewe?Mtihani wa Taifa wa Form Two wa Civics na History ulifeli vibaya,maana hakuna sababu kama hiyo uliyoitoa hapa.Please karudie Form Two ujifunze vizuri!

Na pia nijibu hili swali,kwanini sasa hivi EAC imerudi?Sababu ni nini?Swali la Form Two hili.Cha ajabu utafeli tena.

Wewe kiazi acha uganga...Taja hivyo viwanda...Na pia umesahau,tulisoma darasani sababu ya kufa kwa viwanda Tanzania,hakuna sababu mahali eti Wakenya waliiba..Sababu zipo na tulizisoma,unazotoa hapa ni upumbavu na name calling..Viwanda asimilia karibu 80% nchi vilibinafsishwa SA,na vikafa,Kenya ilinunua viwanda vichache tu..Sasa sijui unaonge madudu gani...Sababu zipo,na pia Mkapa alizitaja.Kasome vizuri.

EPA ilihusika vipi na Wakenya au member yoyote wa East Africa?Scandal ya EPA unaifahamu wewe nguruwe?Tuliiba Watanzania wenyewe,sijaona Mkenya au Mganda hata mmoja kwenye list...

Dada yako,mama yako,demu wako wote tupo nae FB na Badoo...Waulize walishaniuzia uchi mara ngapi halafu uje hapa utoe matokeo!

Shida ni kua,huna akili unaishia matusi yasiyokua na mpango..EAC ni bloc,wanashirikiana tangu milenia na milenia,sasa wewe mwehu unaleta chuki za kitoto na za kufikirika mno...Mi nadhani wewe tu ndio una shida na EAC members tu katika personal level yako wewe....Wachawi ndani ya taifa letu ni viongozi wetu na CCM basi...

Leo unasema Waganda,Wakenya,kesho utasema Wachagga wezi wahame Tanzania...Una Xenophobia na hizi ni dalili mbaya sana!
Unachanganya kati ya EPA account na EPA (Export Partnership Agreement) lwiva anaongelea EPA iliyo letwa na E.U kaipitie unaeza uka kubaliana na point yake.
 
Back
Top Bottom