Kenya tatizo ni nini, mbona serikali inazidiwa nguvu na makundi ya wahalifu?

Kenya tatizo ni nini, mbona serikali inazidiwa nguvu na makundi ya wahalifu?

Majangili Wana nguvu kuzidi Alshabaab, picha ndio kwanza linaanza[emoji1787][emoji1787]
 
1. Kenya rushwa, ukabila na ukora ndo utawamaliza.

2. Wanaokula keki ni Kalenjins(Sasa) na Kikuyu tu. Wengine wameamua kujiongeza

3. Ukosefu wa Ajira, ukame na ugaidi unawafanya wawe watu makatili zaidi.
 
Back
Top Bottom