joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Huko Kila familia lazima iwe inamiliki bunduki zaidi ya 2 kwa ajili ya kujilinda, hakuna serikali huko. Kenya ni failed state kwelikweli sio utani.Hii mbona sio kama wahalifu wanaoshtukiza....
Ni kama jamii kabisa inayoishi kivyake? (Imeasi) kenya imefika huku?