Kenya tatizo ni nini, mbona serikali inazidiwa nguvu na makundi ya wahalifu?

Vitakataka kama wee kule msumbiji na congo vinasakwa sana.
 
Majangili Wana nguvu kuzidi Alshabaab, picha ndio kwanza linaanza[emoji1787][emoji1787]
 
1. Kenya rushwa, ukabila na ukora ndo utawamaliza.

2. Wanaokula keki ni Kalenjins(Sasa) na Kikuyu tu. Wengine wameamua kujiongeza


3. Ukosefu wa Ajira, ukame na ugaidi unawafanya wawe watu makatili zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…