Kenya tayari wameshakuwa wazalishaji na wauzaji mafuta nje ya nchi yao.

Naandika nikifuta na kuandika upya, maana siamini pongezi za mleta mada...what's the catch.....
Anyway shukrani kama kweli hizo pongezi ni za dhati.
Kwanini hauamini mtani, kwenye pongezi tupeane pongezi na kwenye kukosoana tukosoane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…