ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Kwanini hauamini mtani, kwenye pongezi tupeane pongezi na kwenye kukosoana tukosoane.Naandika nikifuta na kuandika upya, maana siamini pongezi za mleta mada...what's the catch.....
Anyway shukrani kama kweli hizo pongezi ni za dhati.