Kenya tayari wameshakuwa wazalishaji na wauzaji mafuta nje ya nchi yao.

Haiya kumbe Faiza unasoma gazeti la kiingereza? Ebu andika kwa lugha hio tufurahie kidogo
 
Kauli ya Uhuru Kenyatta........“We are now an oil exporter. Our first deal was concluded this afternoon with 200,000 barrels at a price of $12 million.....” is both sweet and telling. Hooray Kenyans for this milestone.
 
Hongera sana WAKENYA wote kwa kuwa nchi ya uzalishaji na usafirishaji mafuta.

Hahahaha, hata SGR walikuwa nchi ya kwanza kujenga, lakini ni nchi ya mwisho katika ubora na "Economic value". Hao ni watu wa kukurupuka waonekane ni nchi ya kwanza, hawataki kujipa muda wa kufikiria miradi kwa undani?. Hivi ni nchi gani duniani iliyo na kiwango kidogo cha mafuta kama Kenya (800M barrels),inayosafirisha kwa barabara na inapata faida?.
 
Faida ilipatikana, wewe usijali.. Cost ya kusafirisha sio mingi, labda $1 million. Tumwamini Tullow wanaouza mafuta au mTanzania pale Tandale anaejua kusafiri kutumia daladala tuu?
Hio ya barabara ilikua market test sio full production, to know how much Kenyan good low sulphur oil can fetch in international market. Pipeline will be complete in 2022.
 
Pipe costs $2.3B, price per one barrel is $50. Total crude oil discovered is 800M barrels, recoverable is 30% of 800M. Does it make sense?
 
Where did you get 30% recoverable figure?
Anyway if so, 30% of 800M is 264M x $60 is $16b. 16b - 2.3b is 13.7b
Recoverable oil is about 600M not 264M. So realistically its $36b-$2.3b=33.7b. Makes perfect business sense, au vipi? Now imagine if prices rise to $90 per barrel!!
 
Naandika nikifuta na kuandika upya, maana siamini pongezi za mleta mada...what's the catch.....
Anyway shukrani kama kweli hizo pongezi ni za dhati.
 
kilam sikujua Faiza anakifahamu kiingereza kunishinda. Halafu leo amekuwa mzuri anatupongeza kwa roho safi. Sijui amekula nini leo.

Halafu wewe dogo umeathirika sana kimtazamo kama wakenya walio wengi, kuwaelekea waTanzania. Kuna siku pia uliwahi sema hujawahi ona mTanzania aliyepita masomo kama mimi eliakeem. Nikakuambia hapa ni sehemu ndogo sana ya waTanzania ambao wamesoma. Isitoshe, hapa tunatumia anonymous, ambayo una disclose mambo machache sana.
Usituchukulie poa, Sisi waTanzania, tumewahi kuwa hata makatibu wakuu wa OAU sasa AU, pia Naibu katibu mkuu wa UN.
Try not to be referred as a Myopic.
 
kilam sikujua Faiza anakifahamu kiingereza kunishinda. Halafu leo amekuwa mzuri anatupongeza kwa roho safi. Sijui amekula nini leo.
Ni demu mzuri sana huyo. Pale huwa anakosea ni kutetea magaidi kisa ni waislamu kama yeye. Kwa mambo mengine yupo sawa
 
Siamini macho yangu. [emoji15][emoji15][emoji15] Huu utakuwa ni mtego wa kunasa fuko. Acha nisiseme mengi, nisije nikajibiwa kwamba nilienda shuleni kuvunja madirisha.
 
Labda anaishi Quebec!!!???
😀😀😁😂🤣

Labda 😂 😂😂. Kuna jamaa mmoja wa Mbeya alisoma Mzumbe A'level anaitwa Eliakim. Huwa kila nikiona jina lako hapa napata picha ya huyo jamaa.
 
Nchi ya pili na ya tatu zao ziko wapi hzo zao bora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, hata SGR walikuwa nchi ya kwanza kujenga, lakini ni nchi ya mwisho katika ubora na "Economic value". Hao ni watu wa kukurupuka waonekane ni nchi ya kwanza, hawataki kujipa muda wa kufikiria miradi kwa undani?. Hivi ni nchi gani duniani iliyo na kiwango kidogo cha mafuta kama Kenya (800M barrels),inayosafirisha kwa barabara na inapata faida?.
 
eliakeem ni athari za propaganda. Saa zingine sie Wakenya huwa tunalishwa propaganda kuwa nyie hamjasoma. Kuwa nyie ni lazy hamjitumi na hampendi kuchapa kazi. Lakini sasa nimefahamu kuwa kuna Wabongo wamekula vitabu wakachemsha supu ya vitabu wakainywa.
 
Where did you get 30% recoverable figure?
Anyway if so, 30% of 800M is 264M x $60 is $16b. 16b - 2.3b is 13.7b
Recoverable oil is about 600M not 264M. So realistically its $36b-$2.3b=33.7b. Makes perfect business sense, au vipi? Now imagine if prices rise to $90 per barrel!!
Hahahaha 264M x$60 = $9.84B, stop cooking data. $9.84 - $2.3 = 7.54B
Again, Profit margin of oil bussines is about 22%. This gives you $1.7B. Does it make sense?

Please Note; Recovarble percentage is constant around the world, and is internationally accepted SI unit, the same applying with profit margin in oil business, you can Google to confirm.
 
Back
Top Bottom