Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

Wewe ndio mpuuzi,ni Wakenya Hawataki mahindi yetu kisa walikatazwa kununua mashambani
Umesoma hiyo taarifa iliyoandikwa na gazeti hilo iliyoambatanishwa na mleta mada?

Wewe siku zote umekuwa zezeta tu , kama 'robot' lisiloweza kutumia akili. Linafanya tu yale lililokuwa 'programmed nayo, hata kama ni takataka.
 
Huwa mnakirupuka sana,Mwaka Jana Serikali ikisema haikuwasaidia wakulima walinunua mbolea Kwa bei kubwa so isingeweza ingilia ila mwaka huu Serikali iliweka ruzuku lazima idhibiti
 
Acha kuropoka mambo usiyoyajua
 
Serikali msiruhusu mahindi kutoka Nje kienyeji
 
Huwa mnakirupuka sana,Mwaka Jana Serikali ikisema haikuwasaidia wakulima walinunua mbolea Kwa bei kubwa so isingeweza ingilia ila mwaka huu Serikali iliweka ruzuku lazima idhibiti
Weka uchawa pembeni kidogo, utumie uhalisia wa fikra zako mzee!
 
Nchi hii imekosa thinker tank viongozi hawajui namna ya kutatua matatizo wanaogopa kufanya maamuzi magumu kwa kuogopa vinchi ambavyo ni vichawa!,mwisho wasiku kuwa kiongozi sio kuwa mtu unaekubali maigizo haswa kwa vitu serious vinavyogusa maisha ya raia ulioapa kuwatumikia.
 
Serikali piga marufuku mahindi yetu kuuzwa kinyemela
Angalia sasa usivyokuwa na aibu!
Unaanza kujikosha na kubadili taarifa ukitegemea watu hawauoni ujinga wako.

Sasa imekuwa "serikali", na siyo wakenya tena!

Watu wa aina yako huwa ninawadharau sana.
 
Mnajitekenya na kujichekea wenyewe.
Kweli nyinyi watz ni vichwa vya wendawazimu.
Analiye na tabia za kuzuia kila mara Kwa uoga wa biashara huria ni yupi?
Na Wala hatuna huo muda wa kupoteza.
Mleta mada weye ni kalb hayawan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…