Kenya, the country with disputes with all her neighbors

Listen to the manager of Nature's Fish ltd talking of the benefits accrued by using local airports! There is no turning back to JKIA...

Mimi nikikuonyesha kwamba natumia gari kwenda kazini haimanishi eti kwa mwezi mzima natumia gari mara nyingi kuliko kupanda matatu...

Ukinionyesha eti sasa mnasafirisha samaki kutumia local airports haimanishi eti kila kitu husafirishwa kutumia local airports, Kama ingekua hivyo huyo mwakilishi wa wanabiashara binafsi wa Tanzania hangekua anashukuru serekali yenu kufungua mipaka manake bila hivyo export zenu za Kwenda ng'ambo zingeoza!


How Dar and Nairobi truce saved horticulture from ruin

And BTW, huyo mwakilishi alikua anaongelea kuhusu horticultural exports, wewe umeniletea video ya fish exports!



.
 
Kwanai haujui kufungua link? Mbona mko na arguments za kitoto ivi
Three weeks back, tumeanza kusafirisha fish, agricultural produce and meat direct from Mwanza and Kilimanjaro Airport, sasa hivi hakutokua na mtanzania atakayetumia JKIA kusafirisha mazao yake.
 
Three weeks back, tumeanza kusafirisha fish, agricultural produce and meat direct from Mwanza and Kilimanjaro Airport, sasa hivi hakutokua na mtanzania atakayetumia JKIA kusafirisha mazao yake.
Mlisema hivyo hivyo kuhusu watalii wenu, kwamba hakuna mtalii ane enda Tanzania atakae lazimika kupitia Kenya mwanzo ndo a connect to Tanzania, Miaka mitatu baadae bado kuna watalii wengi ambao hupiga direct flight hadi JKIA ndo wanachapa connecting flight to Tanzania...

Hivyo hihivyp ndo mlisema mlipofufua reli ya MGR ya kwenda Mwaza lakini hadi wa leo bado kuna mizigo kadhaa huja na Mombasa port ndo inapelekwa Northern Tanzania...

Kwahivyo wacheni kimbele mbele, Kwa sasa huyo mwakilishi wenu amedhihirisha bado mnategemea pakubwa bandari ya Mombasa na JKIA kwa exports zenu..... Ladba msubiri mwaka ujao ndo mlete taarifa ya kudhihiirisha kwamba 0% ya exports zenu hupitia Kenya baada ya kuboresha miundombinu ya local airports za Tanzania.
 
don't worry ongea unachoongea Air Tanzania ikianza kuruka kwenda London by next year! BTW kama si Coronavirus Air Tanzania ilikuwa iwe imeanza kwenda Ghangzhou na Bangkok! Be assured by 2022 Air Tanzania itakuwa inaruka kwenda USA! Ni ujinga ku-brag watalii kuja Tanzania kupitia Nairobi wakati KQ inaendelea kupata hasara halafu the truth ni kwamba less than 15% of the whole tourists coming to Tanzania ndo wanashukia JKIA tena wale wenye Kenya and Tanzania/Zanzibar package .
 
Unajua neno biashara?, siku zote mteja hutumia njia ambayo ni cheap, faster and convenient kwake, kama kuna ndege inayobeba mau kutoka KIA, kwanini aendelee kutumia JKIA, mwanzoni hatukua na hiyo huduma ya kusafirisha toka KIA, sasa hivi imeanza, subiri tutaona.

Kuhusu watalii kupitia JKIA sasa hivi idadi imepungua sana, haiwezi kwisha kabisa kwasababu watalii wengi hupenda kutembelea Kenya na Tanzania, kwahiyo kunao watakaoshukia JKIA ili watembelee Kenya kwanza, ila kwa anayetaka kutembelea " Northern circuit of Tanzania " halazimiki kushuka JKIA kwa sasa.
 
Huyo Dr. Jacqueline Mkindi mwenyewe ame quote taarifa ya theeastafrican ambayo bado ni Nationmedia outlate! So either choose to accept both reports or you deny all of them, usichague ile taarifa ambayo ina kufurahisha alafu unatupilia mbali yenye haikufurahishi
Hio tarrifa yliotajwa na huyo Dr. Jacqueline bado ni ya NationMedia outlet.

EAC seeks tax waivers for Covid-19-ravaged airlines


Na BTW hii dili ya kuruhusu ndege ni makubaliano ya EAC, Kwahivyo hata KQ iko huru kuja huko kuchukua mizigo





Private sector players under the umbrella of the East African Business Council in a paper titled EABC Position Paper on Facilitating Air Cargo Operations in the EAC Region During Covid-19 Outbreak, are seeking tax waivers for regional carriers to enable them continue operating cargo flights to freight fresh produce to international markets.
These include a reduction in operating costs; suspension of landing, navigation and parking fees charge; suspension of excise duty on aviation fuel, and exemption from Covid-19-related fees.
“EABC recommends that the EAC Heads of State Summit considers the following to encourage imports by air; that the EAC Partner States waive all import duties and VAT by air during the Covid-19 crisis,” said Dr Peter Mathuki, the EABC chief executive.
EAC seeks tax waivers for Covid-19-ravaged airlines
 
Mbona unakuwa mjinga kulazimisha mambo? Hivi ni nani anapeleka cargo 200 km away wakati kuna frequent flights at an airport that is located less than 30km away! The only way a business can do that is if KQ is to start a direct cargo flight from KIA! Wacha ujinga mzee Dr. Mkindi with the assistance from ministry of Works and Transport organized the ET flights to KIA. I know u feel bitter but this is business! And if we had landing pass to Europe we would ven be flying there using Air Tanzania.

Meawhile Air Tanzania is keeping buying new aircraft aiming to have at least a fleet of 20 aircraft all bought by cash

including a freighter







 
Kuna mahali hapo nime highlight. Hilo ndo jibu ungetoa tangu kitambo, sio kutoa vitisho kwamba eti sasa mmechukua soko na hakuna mtu atafika Kenya tena...


Kumbuka sio mambo ya infrastructure pekee ambayo yalifanya mlete baadhi ya exports zenu kupitia huku, Kuna sehemu zengine kule Ugaibuni Kenya imeshikilia soko vizuri kwahivyo hua Tanzania hamna budi ila kuchanganya bidhaa zenu na za Kenya, Vitu kama maua au Chai, ukifika kule UK ukitaja Kenyan flower au Kenyan Tea ni kitu ambacho kinajulikana vizuri.
Kuna pia sababu zengine kama vile Mombasa Tea Auction ambayo ndo auction inayojulikana ulimwenguni, lazima mpeleke chai yenu hapo ndo ipate bei ya juu katika hali ya auctioning, mkisita kupeleka hapo na muisafirishe moja kwa moja itakosa bei kule majuu.


Sahii huko ugaibuni kuna shortfall ya kila kitu kwahivyo katika hizi special circumstance watapokea kutoka kwa mtu yeyote manake hata hio auction imefungwa kwa sasa, lakini tukirudi katika hali ya kawaida wale jamaa wataanza kuchagua chagua
 
KAma ungekua unasoma na kuelewa ungekua uliona kuna mahali nimesema
"Na BTW hii dili ya kuruhusu ndege ni makubaliano ya EAC, Kwahivyo hata KQ iko huru kuja huko kuchukua mizigo "
 
KAma ungekua unasoma na kuelewa ungekua uliona kuna mahali nimesema
"Na BTW hii dili ya kuruhusu ndege ni makubaliano ya EAC, Kwahivyo hata KQ iko huru kuja huko kuchukua mizigo "
That's the only option aside the fact of a competitive charges in comparison to Rwandair and ET aside Qatar airways, KLM, Turkish Airlines n fly Dubai when they proceed with flights to KIA and later to Mwanza airport. If i were me would bar KQ from flying to Tanzania considering this..

I have just sent my grievances plus advices on what to do to counter ur decision to unruly n unfair charge a 25% excise duty to KIOO ltd exports to Kunyaland to the ministries of trade and works, transport and infrastructure . It will take a miracle for KQ or JKIA to reclaim again that horticulture business from Tanzania in this JPM era. One thing to advice u, don't rely too much on propaganda spread by a Nationmedia outlet going written by a reporter with a name The Citizen reporter! Try to be smarter than that!
 
Ndio sababu Magufuli anatumia hii nafasi ili kuanza kushika masoko na kujitangaza, wakati huko Kenya shughuli za uzalishaji na usafirishaji umesimama, sisi ndio tunazidisha uzalishaji na kusafirisha wenyewe, mtakapoanza tena, mtakuta tumeshajitangaza pakubwa.
 
roho inamuuma ukizingatia kuna hii news



Sasa loss hii ni kipindi fish, meat and horticulture produce zilikuwa zinapita JKIA, pata picha hasara ya mwaka kesho bila cargo ya Tanzania! Loss itakuwa Kshs 14+ bln !
 
You don’t know what your praying for , Tz haishindwi kuwapa deal Ethiopia airlines n Rwanda international flights za Bongo. Kwanza they are not even our competitors in the tourism industry....
 
You don’t know what your praying for , Tz haishindwi kuwapa deal Ethiopia airlines n Rwanda international flights za Bongo. Kwanza they are not even our competitors in the tourism industry....
See how desperate they r, they know TCAA is about to issue ET permanent landing warrant. There is no turning back at KIA we can't getting losses as a result of fools that think they r doing us a favor! Let them compete with ET while they r at JKIA! 😀 😀 😀 😀 👇

Tanzania horticulture exports hurt by border closure
WEDNESDAY MAY 27 2020


A horticulture farm. Tanzania Horticulture Association Chief Executive Jacqueline Mkindi asked Tanzania and Kenya to resolve the border issue to avoid delays in exporting Tanzania’s horticulture produce through Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP

In Summary
  • Most of Tanzania’s horticulture produce is exported through Kenya's Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).


By PATTY MAGUBIRA
More by this Author
The closure of the border between Tanzania and Kenya hit Dar’s horticulture sector due to long delays at the crossing for fresh produce truckers, risking a disruption of the supply chain.

Horticulture is one of Tanzania’s economic pillars.

This past week, Tanzania Horticulture Association (Taha) Chief Executive Jacqueline Mkindi asked the governments of Tanzania and Kenya to resolve the border issue for the sake of the already struggling exports industry.

Most of Tanzania’s horticulture produce is exported through Kenya's Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). “If this tug of war continues, we’ll be the first to suffer as we still rely on JKIA and the port in Mombasa to export crops whose routes are not open from Tanzania,” Dr Mkindi said. “Our government has all along been considerate to horticulture. We advise it to embark on economic negotiations with Kenya to allow cargo to continue crossing borders smoothly.”

CO-OPERATION
“We’re ready to co-operate with the governments to ensure operations go smoothly at border points in the wake of the pandemic,” she added.

After the halt of international aviation, the Taha signed a deal with Ethiopian Airlines.

Despite the deal with Ethiopian Airlines to ferry fresh vegetables, fruits, herbs and flowers to global markets from Kilimanjaro International Airport, the airline has still not been granted long-term landing permits.

“Unless the government resolves the hiccups, the future of the deal with the Ethiopian Airlines is hanging in the balance,” said Dr Mkindi, as she asked the government to consider issuing between three to six-month landing warrants for cargo flights to ease their operations.

Currently, Taha has to apply for a landing warrant for every incoming flight at routine airport charges and has to attach backup documents each time.

Tanzania horticulture exports hurt by border closure
 
Nani alikwambia usafirishaji imesimama ? Sio Ndege zote ziko grounded














 
Siku zote nyinyi hua mnaushabiki more than common sense, ndio maana juzi mna react na economic tit for tat kwenye fight against corona.... Eti bad KQ from flying to Tanzania .. really??? Ushabiki ndio yenu, Haya pigeni ban hio KQ kwasababu ya vioo, tuone atakae umia in the long run ni nani, No major global airline will ever set up its African hub/base in any of your airports! Plus the likes of Boeing ama airbus will never ever chose Tanzania to build a Maintenance/Repair hub for airlines in the region, watakua wanakuja wakichukua mizigo na kutoka lakini hawatawai kuwekeza permanent infrustructure manake wanajua wanaweza kufukuzwa kama vile KQ ilifukuzwa...

Alafu kumbuka hio KLM ulioitaja iko na code share agreement na KQ, sometimes unaambiwa ndege ya KLM inakuja kuchukua mzigo kumbe ni KQ ndo inatumika
 
Nani alikwambia usafirishaji imesimama ? Sio Ndege zote ziko grounded














kama hivyo itakuwa TCAA imezuia KQ freighters kutua viwanja vya Tanzania! Kumbuka hii! Mlihaidiwa quarantine kwanza mkitua kiwanja chochote cha Tanzania kwa siku 14! 😀 👇


 
You don’t know what your praying for , Tz haishindwi kuwapa deal Ethiopia airlines n Rwanda international flights za Bongo. Kwanza they are not even our competitors in the tourism industry....
Labda useme muwapatie Ethiopia na Rwanda exclusive deal, lakini ikiwa ni open deal ambayo yeyote anaruhusiwa bora awe competitive then pia KQ itajiingiza hapo ndani katika hali ya competition kama vile tunavyo compete na Ethiopia nchi zengine...


Hata huku Kenya, Sio KQ imepewa exclusive rights za kubeba mizigo ya Kenya, Kila exporter anachagua kampuni ya ndege inayomfaa

Hii hapa ni Eldoret Internationa Airport..

Kenya Airways hubeba Exports kutoka hio airport

Source: Kenya plans to multiply exports from Eldoret Airport

Lakini pia kampuni zengine za ndege ziko huru kushindana kuchukua zoko hilo la mizigo

Kwa mfano Egypt Air




Ethihad







HAta hao Ethiopia waliruhusiwa kubeba mizigo manake sisi si watu wa unafik

Published 1 year ago
on December 11, 2018
The Ethiopian Airlines has started using the Eldoret International Airport for export of flowers and other goods directly to the European market.
Airport manager Walter Agong on Tuesday said the carrier will be landing at the facility with electronic goods and taking off with horticultural products.
“The airline has made its maiden trip and will be linking the airport with markets in Europe where there is high demand for horticulture products, increasing viability of the facility,” said Mr Agong.
Ethiopian Airlines starts cargo exports from Eldoret Airport





-------------------------------------------------------------------------
Kwahivyo kama mtaweka mtindo huo wa kuruhusu shirika lolote la ndege kuja kushindana basi pia KQ itaafika huko ikiona kuna soko muhimu la kupiganiwa
 
kama hivyo itakuwa TCAA imezuia KQ freighters kutua viwanja vya Tanzania! Kumbuka hii! Mlihaidiwa quarantine kwanza mkitua kiwanja chochote cha Tanzania kwa siku 14! 😀 👇


Flight za mizigo ziko exempted from quaranteen kwasababu hawana haja ya kushuka na kutangamana na watu wakija kubeba mizigo, labda nyinyi ndo mzindue sheria mpya ya unnafik



-----------------------------------

On Sunday, a KQ dreamliner of registration KQ 2764 took off from Nairobi for Johannesburg loaded with medical goods and essential items.

In the coming days, grounded passenger planes will be complementing the cargo freighters and will transport cargo across the world.

KQ takes medical supplies to South Africa as carrier turns to cargo business - Citizentv.co.ke

----------------------------------------
 
Mwanzo hamkuwa na freighters mlianza baada ya kuona ET ikiendelea na flights at later stage. BTW ur freighters can not reach Europe

Low freight capacity limits KQ’s cargo business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…