Kenya, the country with disputes with all her neighbors

Mwanzo hamkuwa na freighters mlianza baada ya kuona ET ikiendelea na flights at later stage. BTW ur freighters can not reach Europe

Low freight capacity limits KQ’s cargo business
Angalia huyu hypocryte, Si umesema tusiamini propaganda za NationMedia, alafu lisaa halijapita usharudi na link yao kama ushahidi!

Haujaelewa hio taarifa, Wakiongelea kuhusu Freighters wanaongelea kuhusu ndege ambayo inatumika exclusivly kwa kusafirisha mizigo kama hii hapa chini, Hizi ndo wanasema tungekua nazo nyingi basi wakati huu wa corona KQ ingekua iko busy ikisafirisha mizigo mingi kwa mpigo. Wanasema zile za Abiria zilizokua coverted kubeba mizigo hazina capacity kubwa ya kubeba mizigo mingi kwa mpigo kama wide body freighters..

Hii hapa hua inapiga route za Africa na Middle east sana sana
KQ-Cargo.jpg

Kuna freighter kubwa tulikua tukitumia lakini iikua haileti faida routes za Africa kutumia exclusive freighter ndo tukabaki kununua ndege za mizigo masafa mafupi, alafu kwa masafa marefu mizigo hubebwa kwa under-belly ya ndege za abiria ndo ukichanganya na nauli ya abiria inaleta faida zaidi.

MYfFrZCWUN0tqH1qeHRwVYkYsmZHjmpk-NKurmVP9EDl3jBdzoTzt_nkpe-8Su1wieX5egLjZcIV_qqBFlfjTMFYZIdB
 
Hii ni ya Skyteam exhibition flight! Si ya KQ! Wacha ujinga!

KQ does not have long-range cargo aircraft and the two B737F that the carrier owns can only do regional services and there is not much cargo to transport within Africa.

BOEING B737-300F

BOEING B737-300F

ABOUT THIS AIRCRAFT
Boeing’s B737-300F model has numerous features that increase both its capacity and efficiency, including a stretched fuselage, aero dynamic tweaks and powerful turbofan engines. This aircraft is capable of carrying both outsized and container freight over medium haul distances.

AIRCRAFT LAYOUT
Layout Digram of BOEING B737-300F

AIRCRAFT IMAGES
CHARTER THIS AIRCRAFT

GET A QUOTE
AT A GLANCE

CRUISE SPEED
914 KM/H / 567 MPH

RANGE
Medium haul

PAYLOAD
19275 KG / 42494 lbs

HOLD SIZE (LxWxH)
2324x317x214 CM / 914"x124"x84"

DOOR SIZE (WxH)
2324x317 CM / 914"x124"

SPECIFICATION

TOTAL LOAD VOLUME
130 m³ / 4590'³

MAXIMUM RANGE
2929 KM / 1820 Miles

Interior of BOEING B737-300F

Boeing B737-300F

MY TAKE
Wacha ufalamanga ur freighters can't get to Europer specifical meant for regional operations!
 
KWa mara nyengine, unakimbilia kujibu kabla ya kusoma vizuri, Hii ndo comment yangu nilipoeka hio picha

"Kuna freighter kubwa tulikua tukitumia lakini iikua haileti faida routes za Africa kutumia exclusive freighter ndo tukabaki kununua ndege za mizigo masafa mafupi, alafu kwa masafa marefu mizigo hubebwa kwa under-belly ya ndege za abiria ndo ukichanganya na nauli ya abiria inaleta faida zaidi. "

Wewe umekimbilia kuenda kunionyesha nani anaimiliki na kuitumia kwa sasa

Kabla tuanze kutumia hizo freighter ndogo ndogo za cargo tulikua tunatumia hio 747 kubwa kunazia 2012 hadi 2015. Mizigo ya KLM na KQ yote ilikua inabebwana hio 747 yenye engine nne

1590586345138.png

B5ItznYIEAA_zq_.jpg
 
View attachment 1460803
B5ItznYIEAA_zq_.jpg
so if its no more in ur fleet why the heck do u now yap about our cargo? our horticulture and fish fillets go to Europe, Rome, Brussels and Amsterdam! the three cities r out of reach for KQ as ur freighters can not get there direct!
 
Its like arguing with a child! KQ used to Transport that cargo in the cargo hold of persenger planes which can reach those cities, I have already said this!!!!
Alafu kumbuka hii mizigo mliosafirisha ni more of chartered flight , mlikua mme accumulate mizigo ya wiki kadhaa ndo mkajaza hizo ndege, lakini maisha yakirudi kawaida hamtakua na mizigo ya kujaza Boeign 777 kila siku, Itakua mzzigo hio inaweza ikabebwa kila siku ndani ya cargo hold ya Passenger plane.
 
Whaterever as far as i know ET is in Tanzania to stay as our horticulture industry is nearing $1 bln aside fishing industry that after good management is back with a bang! Mind u Mwanza used to have Antononov in early 2000, now the planes r banned in the EU Rwandair n ET r there to fill the gap! BTW we have already started a plan to acquire our own cargo plane by 2022. This plane will be able to reach Europe esp. Rome n further. So, worry not my friend!

Utakuja unipigie hadithi 4 years from now, kama vile fastjet
 
I assure u in those 4 years KQ will be no more! This year alone KQ will make a loss of at least Kshs 25 bln!
 
Angalia huyu hypocryte, Si umesema tusiamini propaganda za NationMedia, alafu lisaa halijapita usharudi na link yao kama ushahidi!

Haujaelewa hio taarifa, Wakiongelea kuhusu Freighters wanaongelea kuhusu ndege ambayo inatumika exclusivly kwa kusafirisha mizigo kama hii hapa chini, Hizi ndo wanasema tungekua nazo nyingi basi wakati huu wa corona KQ ingekua iko busy ikisafirisha mizigo mingi kwa mpigo. Wanasema zile za Abiria zilizokua coverted kubeba mizigo hazina capacity kubwa ya kubeba mizigo mingi kwa mpigo kama wide body freighters..

Hii hapa hua inapiga route za Africa na Middle east sana sana
KQ-Cargo.jpg

Kuna freighter kubwa tulikua tukitumia lakini iikua haileti faida routes za Africa kutumia exclusive freighter ndo tukabaki kununua ndege za mizigo masafa mafupi, alafu kwa masafa marefu mizigo hubebwa kwa under-belly ya ndege za abiria ndo ukichanganya na nauli ya abiria inaleta faida zaidi.

MYfFrZCWUN0tqH1qeHRwVYkYsmZHjmpk-NKurmVP9EDl3jBdzoTzt_nkpe-8Su1wieX5egLjZcIV_qqBFlfjTMFYZIdB
Hiyo ndege ya Chini mlilease kwa KLM
 
Hiyo ndege ya Chini mlilease kwa KLM
Iliuzwa kabisa si ya KQ tena, kwahivyo kwa kifupi hatuna ndege wide-body ambayo ni freighter, KQ waliamua kutumia ndege ndogo ndogo kubeba mizigo hapa Africa kwasababu si mizigo mingi huenda na ndege.....

Unakuta zile siku za kawaida kuna kama 5 daily flights From Nairobi to London, Kila safari ya ndege ya abiria inaweza kubeba zaidi ya 20 tonnes kwenye cargo hold.... unakuta afadhali uchanganye hio mizigo kadhaa kwa kila flight ya ndege ya abiria, by the end of 5 flights unajipata ulisafirisha mizigo yote ya siku ukitumia ndege za abiria kwahivyo umepunguza gharama manake kama ungetumia dedicated freigter kupeleka mizigo yote kwa mpigo huko Loondon, hio ndege ya mizigo ingerudi empty manake hua hatu import bidhaa nyingi kutoka huko kwahivyo unajikuta unapoteza mafuta... atleast ukitumia ndege ya abiria hata kama hakuna mizigo kwa return flight bado abiria wanachngia mapatokwa hio flight.
 
The Biological weapon Propagandist from the land of Kinjenketile
 
Back
Top Bottom