Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Angalia huyu hypocryte, Si umesema tusiamini propaganda za NationMedia, alafu lisaa halijapita usharudi na link yao kama ushahidi!Mwanzo hamkuwa na freighters mlianza baada ya kuona ET ikiendelea na flights at later stage. BTW ur freighters can not reach Europe
Low freight capacity limits KQ’s cargo business
Haujaelewa hio taarifa, Wakiongelea kuhusu Freighters wanaongelea kuhusu ndege ambayo inatumika exclusivly kwa kusafirisha mizigo kama hii hapa chini, Hizi ndo wanasema tungekua nazo nyingi basi wakati huu wa corona KQ ingekua iko busy ikisafirisha mizigo mingi kwa mpigo. Wanasema zile za Abiria zilizokua coverted kubeba mizigo hazina capacity kubwa ya kubeba mizigo mingi kwa mpigo kama wide body freighters..
Hii hapa hua inapiga route za Africa na Middle east sana sana
Kuna freighter kubwa tulikua tukitumia lakini iikua haileti faida routes za Africa kutumia exclusive freighter ndo tukabaki kununua ndege za mizigo masafa mafupi, alafu kwa masafa marefu mizigo hubebwa kwa under-belly ya ndege za abiria ndo ukichanganya na nauli ya abiria inaleta faida zaidi.